Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's from internet...it's not Upperhill ..tulieni picha zinakuja..mbona mmmebanwa na mharo
Tulikuwa tunajadili picha za cbd ila wewe unaleta za mitaani. Why are we even talking about this? Kubali tu umeshindwa na madai yako
 
mbona hata familia zinalistiwa kwenye list forbes.. mf tu unaweza kukuta list ya someone’s family net worths
Kuna mwaka Bakhresa alikuwa no 1 on forbes list kwa Tz. Ni kati ya 2011 na 2014 hapo. Nadhani net worth yake ilishuka chini baada ya kuzidi kuzamisha pesa kwenye ujenzi wa viwanda vipya (Mkuranga pekee ni bn 250), meli na real estate pale Fumba. Hesabu ya networth huyumba nyakati za uwekezaji.

Pia Rostam aliwahi kuwa namba 1 kwenye hicho kipindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mvumilivu mjomba...
Acha tu nikunyamazie sasa. Tumia hata hii hapa kama umekosa
images (37).jpeg
 
Lakini net worth ni tofauti na Gdp mzee baba..networth is not production ..gdp huwa ni value of good n services produced within a year so ..how does net worth equate to gdp kwa hapo ..tungeangalia Gdp contribution za Hao waarabu na wahindi alfu tukajua how much do they contribute in economy per year ndo tungesema wanaendesha % flan ya uchumi?
Lakin mm nnaweza kuwa worth 10000usd but i dont even produce 100usd a year

Tuchukue national net wealth tuangalie % yao itakuwa kipimo kizuri
Hii ndiyo raha ya kuwa na wachumi wazuri kwenye jukwaa. Umetoa somo zuri sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwaka Bakhresa alikuwa no 1 on forbes list kwa Tz. Ni kati ya 2011 na 2014 hapo. Nadhani net worth yake ilishuka chini baada ya kuzidi kuzamisha pesa kwenye ujenzi wa viwanda vipya (Mkuranga pekee ni bn 250), meli na real estate pale Fumba. Hesabu ya networth huyumba nyakati za uwekezaji.

Pia Rostam aliwahi kuwa namba 1 kwenye hicho kipindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwehu. Kujenga viwanda hakupunguzi net worth. If one is worth 1$ and spends $B in building industries, he's still worth 1$ maana hizo viwanda bado ni mali yake na ziko worth 1$.
 
Haiya,you mean kuna vibanda at the heart of Dar cbd🙄🙄🙄😳😂
You are becoming too desperate. Umeshindwa kuthibithisha madai yako ya trolley za maji cbd sasa umekimbia hadi mitaani. Sawa basis, wacha nikutumie moja ya cbd ukiendelea kupekuapekua mitandoani ukitafuta picha
View attachment 1780577View attachment 1780577
 
3 May 2021

Arrivals \\ ROVOS Rail luxury train arrives in Lusaka from South Africa en-route to Dar-es-Salaam



The Rovos Rail is a private luxury train that goes from Pretoria to Dar-es-Salaam on a 2 week journey. It comes through Victoria Falls, Livingstone and proceeds through Lusaka Kapiri and onwards to Tanzania.
Source : the khumba guy
Hii reli kwa nini wasi modify kibiashara zaidi na kuweka gogo ambalo ni modern . Hii route inavutia sana huwezi choka safiri
 
Hii reli kwa nini wasi modify kibiashara zaidi na kuweka gogo ambalo ni modern . Hii route inavutia sana huwezi choka safiri
hahah yaani hapo ndo unapokosea watalii wanasafiri kwa leasure yaani as much as antique the train looks the more the tourists it attracts! yaani kwenye hii sector wanataka zile train za kizamani hata ikiwezekana steam engines! Pitia hii clip uone idea behind the leasure travelling in colonial coaches!

 
Hakuna msukuma atamuoa binti wa rostam aziz wewe, acheni kupumbazaa na kiswahili huku kumbe majamaa wanawala kw upumbavu wenu

Sasa mbona hapo kwenyu hakuna mpokoti ambaye anaoa mkikuyu?
🤣🤣🤣
 
Huyo mama ukimtazama tu kwenye rangi ya ngozi utajua tu kwamba ana damu ya kiarabu. Mababu zake walikuwa ni waarabu. Yaani ana ngozi nyeupe pepepe.
View attachment 1780281Mimi nataka niletewe ngozi nyeusi tititi iliyowekeza mamilioni ya USD katika viwanda vikubwa huko TZ. Mengi ndiye alikuwa ngozi nyeusi aliyewekeza katika biashara kubwa kubwa ila kasepa.
Leteni watu sampuli hii hapa chini waliowekeza mamilioni ya USD katika viwanda huko TZ.
View attachment 1780282View attachment 1780283


Kumbuka watu ngozi nyeusi tititi ndio majority ya watu wa Tanzania. Hawa watu wenye ngozi nyeupe pepepe ni minority huko Tanzania. Ni wachache mno.
Tony Kwa hiyo na huyu hapa sio mkenya🙄🙄wabajuni na sijui wagunya Sana Sana watu wa lamu nao sio wakenya?
Screenshot_20210511-132931_DuckDuckGo.jpg
 
Back
Top Bottom