Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Very useless country i tell you, 🚮🚮Masoko yao pia kuna mingine ni misaada, yani nchi ya maziwa hyo kisha kumbe wanatembelea nyota za wengine
Very useless country i tell you, 🚮🚮Masoko yao pia kuna mingine ni misaada, yani nchi ya maziwa hyo kisha kumbe wanatembelea nyota za wengine
Upperhill ni kitu imeanza just the other day. Westlands has been there for quite long and is slightly ahead of Upper hill in many things. Upperhill, however, is coming up really nice considering that most of the things you are seeing there were nonexistent 15 years agoWesty is now better than upperhill?siwasikii tena mkinadi upperhill
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
They say a picture speaks a thousand words. Badala ya hizi zote, ungeleta tu picha za wauza mahindi chemsha cbd na hao watu wa trolley za maji ya kuuza. Wapiga rangi wapo ila ninachokijua ni kwamba wako na sehemu zao maalum na wote wanavaa sare zao rasmi in very organized sheds.Wapiga kiwi viatu...na wauza mahindi ya kuchemsha hakuna? Nahisi ata boda boda hakuna CBD...na yake matoroli ya maji wanayotembeza watu Kule..au CBD Ni wapi?
Hiyo ni stairs 😄,kwa kunyaland unaweza kukuta hizo ngazi zimegharimu milioni za kikunya 🤣Sasa hii ndo nn jamani, failed state everView attachment 1780152
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa wanatoa pesa wakijua pesa inaenda kufanya mambo stahiki,sio kama kunyaland nchi inayoongoza kwa wizi na bribe africa pesa kama hiyo watagawana wanasiasaWamepewa na mjerumani leo wazee wa kuzungusha bakuli la sadakakisha eti wanawaita mabeberu, hawa majamaa wanafiki kweliView attachment 1780158
Yuko karibu na nani?Bado rais wako anautambua umuhimu wakuwepo karibu nae![]()
We tena ni mzalendo, mbona unawanengukia maneberu tena live .ole wako hayati katangulia lkn ungelikipatapataHao jamaa wanatoa pesa wakijua pesa inaenda kufanya mambo stahiki,sio kama kunyaland nchi inayoongoza kwa wizi na bribe africa pesa kama hiyo watagawana wanasiasa
Mafuta ya mpako ndio kwa ajili ya MunguKwahiyo watu wanaokanyagana kwa ajili ya Mungu unataka kufananisha na watu wanaokanyagana kwa ajili ya chakula, yn karne hii ya 21 bado unakanyagana kwa ajili ya msosi? Nenda Saudi Arabia kila mwaka watu wanakanyagana kwa ajili ya Allah na co chakula km nyie wakenya, yn Kenya ni Afghanistan iliyochangamka
Sent using Jamii Forums mobile app



Alafu usisahau na wale waliokanyagana kw ajili ya jiwe bana, yani ukaufaje kizembe kw ajili jiweKwahiyo watu wanaokanyagana kwa ajili ya Mungu unataka kufananisha na watu wanaokanyagana kwa ajili ya chakula, yn karne hii ya 21 bado unakanyagana kwa ajili ya msosi? Nenda Saudi Arabia kila mwaka watu wanakanyagana kwa ajili ya Allah na co chakula km nyie wakenya, yn Kenya ni Afghanistan iliyochangamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hii ndo nn jamani, failed state everView attachment 1780152
Sent using Jamii Forums mobile app








Wacha wachapwe mpaka wawache Kula Albino,labda walikuwa wanataka Kula Hao Wachina wakifikiri Ni Albino wakaoneshwa kungfu🤣🤣🤣🤣Hawa hucharangwa hadi mapanga na Wahina
![]()
Wachina watano mbaroni kwa kujeruhi Watanzania kwa sime
POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya kutokea ugomvi kati ya Wachina wanaomiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha, maarufu kama Bonanza na watu waliokuwa wanacheza mchezo huo. Kwa...www.jamiiforums.com
Na kutoswa baharini
![]()
Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini
Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...www.jamiiforums.com
![]()
Tumie hivyo vyuma kujenga hii airport ya kisumu 😂😂 👇sio kele mingi tuLink ya nini na vyuma tumewapa sisi, nyie kubalini tu ya kwamba airport ya mwanza tunajenga wakenya![]()
Mombasa Rd. Ingekuwa ni kule south tungekuwa tunaona midreamhouses kushoto kulia 😂 😂Tanzanians must learn.
View attachment 1780201
Lakini kwasababu ipo north ndio mana barabara hazijulikani ni rangi nyeusi au brick 🧱 😂😂😂 . Udongo tu mwanzo mwishoMombasa Rd. Ingekuwa ni kule south tungekuwa tunaona midreamhouses kushoto kulia 😂 😂
Much of Nairobi is red soil so what do you expect bongolala? Au unataka kuona dreamhouses huku pia ndio uridhike?Lakini kwasababu ipo north ndio mana barabara hazijulikani ni rangi nyeusi au brick 🧱 😂😂😂 . Udongo tu mwanzo mwisho