Mimi huwa sipendi ujinga. Hii website ni ya kitoto hata kama ni ya Kenya ni ya kitoto. Watu walioandika ujumbe huo ni wajinga wa mwisho. Wanasema eti kuna Mtanzania mmoja ambaye anamiliki ksh 1 trillion? Huo ni uongo mtupu. Hakuna Mtanzania ambaye anamiliki ksh 1 trillion. Ksh 1 trillion ni sawa na $10 billion. Pengine hesabu ndio imeshinda hawa mang'ombe walioandika ujumbe huo. Mo Dewji anamiliki $1 billion na ukiiconvert into ksh inakuwa ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Narudia tena ujinga ndio sipendi hata kama ni Mkenya anaandika ujinga nitasema tu kwamba ni ujinga. Mo Dewji anamiliki ksh 100 billion sio ksh 1 trillion. Kama watu walianguka somo la hisabati shuleni wakae kando sio kupublish takataka kwenye mitandao. Hio Kenyans.co.ke ni takataka kama hawawezi kuconvert USD into ksh. Huyo Mkenya aliyeandika kwamba Tanzania wana mtu mmoja anayemiliki ksh 1 trillion ni Mkenya mjinga sana huyo asiyejua hesabu. Sipendi discussion za kipuuzi. Halafu Mtanzania mwenyewe
Simon anakuja kupost bila kuona mistake iliyofanywa na Kenyans.co.ke. Yaani lazima mimi nikuje kuwaonyesha mahali mistake iliyopo, nyinyi hamuwezi kuiona wenyewe?