ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hapana sijui ngoja tuombe msaada google 🤣🤣🤣👇👇👇Unajua maana ya relief kweli mwarabu koko😁
Hapana sijui ngoja tuombe msaada google 🤣🤣🤣👇👇👇Unajua maana ya relief kweli mwarabu koko😁
Msalaba
Kabisa🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 1780166
Bila shaka bakuli limetembezwa😁😁
www.capitalfm.co.ke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1780156
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado rais wako anautambua umuhimu wakuwepo karibu nae[emoji23]Anatambulka kwa njaa na umaskini bila kusahau slums za kidunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jwtz inahusiana na kulinda mipaka na kulinda nchi dhidi ya maadui wa njee hayo mambo ya ndani ni ya polisi na usalama.Bwahahaha!!mko salama na wakati kunanwatu walitekwa mpaka leo hawajulikani walipo
Anautambua kwa lipi ?? TujuzeBado rais wako anautambua umuhimu wakuwepo karibu nae[emoji23]
Kwn hao ATPU ni wanajeshi, nyie kubalini ya kwamba hamna tactical forcesJwtz inahusiana na kulinda mipaka na kulinda nchi dhidi ya maadui wa njee hayo mambo ya ndani ni ya polisi na usalama.
Na jitihada zote lakin wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]Msaada, mshukuruni mjapan la sivyo level yenu burundi
[emoji6][emoji23][emoji23]View attachment 1780166
Bila shaka bakuli limetembezwa[emoji16][emoji16]
Mbona kashindwa kesi sasa 🤣🤣 na mbona hajarudi kudai shamba lake ??😅😅 mwambie arudi kudai basiNa bado mnamuogopa mkulima[emoji23]
Ukidaiwa usikwepe jamani, sasa mtamkwepa mpka lini
Kwa kifupi masikini wamedoubleWananchi maskini alaf unaongelea habari ya mindombinu haina tija 🤣🤣🤣 mchina kawanyea kichwani munamtafuta mchawi
View attachment 1780161
Home | Africa Renewal
www.un.org
Unajua maana ya ditch, kweli wazee walimu wenu walipata kazi..habari zenu mna copy paste tu wala hamsomi mkaelewa..uvivu mbaya jamaniNa jitihada zote lakin wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1780169
Na mbona hamjarudi sauzi sasa km mumeshinda kesi[emoji23][emoji23]Mbona kashindwa kesi sasa [emoji1787][emoji1787] na mbona hajarudi kudai shamba lake ??[emoji28][emoji28] mwambie arudi kudai basi