Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,911
- 103,771
Ni kama kuna sabotage!Mama kama mama!
Ni kama kuna sabotage!Mama kama mama!
Ukiumia umia kimya kimya 🤣🤣🤣Quality mbovu sana.
Nani analipa wakat chakula mli mmoja unamtoa kamasi mtu 🤣🤣🤣🤣 hapo mchina kasha win for second game after SGR😂😂😂😂Sa stress yako ni kulipa tu,hio si issue,,ata walipishe 100 yrs tutalipa,that road is classic men😍😍
Phase 2 iko wapi ??? Hio phase 1 yenyewe mkopo alaf unazungumzia phase 2 🤣🤣🤣 sijui mumerogwa na naniUmia pole,,hii Ni phase one pekee,, phase 2 iko njiani na itakuwa na huge parking building size ya hio yenu ya magufuli😁😁
8 lanes siku hzi kikenya munaita 12 lanea 🤣🤣🤣🤣 au hujui lanes zinahesabika vpEti Thika superhighway Ni 8 lanes😂😂😂😂mamayoo,,,10-12 lanes,,Tz yote hakuna lanes Kama hizi
3 May 2021
Arrivals \\ ROVOS Rail luxury train arrives in Lusaka from South Africa en-route to Dar-es-Salaam
The Rovos Rail is a private luxury train that goes from Pretoria to Dar-es-Salaam on a 2 week journey. It comes through Victoria Falls, Livingstone and proceeds through Lusaka Kapiri and onwards to Tanzania.
Source : the khumba guy
Kwanza umeelewa walichoeleza au akilini mwako unawaza ushindani tu😅😅😅 elewa wanachokisema kwanZa👇👇👇👇 kwamba nchi imejinyea tayarTanzania mkiwa na majadiliano wazi wazi kama hii, sio tu kwa jf, but mainstream media, and with factual data on the table, I might close my acc., hapa naona mama anaelekea, msema ukweli kisa ni wa dini, ila siasa za CCM na dini hazipatani, am watching her to see how she plays her cards, propaganda imetawala nchi kwa mda mrefu,..
Hehe,,unaweza kuwa na gari na chakula ikose,,hujielewi wewe🙄🙄Nani analipa wakat chakula mli mmoja unamtoa kamasi mtu 🤣🤣🤣🤣 hapo mchina kasha win for second game after SGR
Niletee Thika superhighway ya 8 lanes hapa nicheke😂😂8 lanes siku hzi kikenya munaita 12 lanea 🤣🤣🤣🤣 au hujui lanes zinahesabika vp
Sasa hvi washafika 78% to 80%🤣🤣🤣
Jamaa wanaubaguzi Sana 🙄Hata watoto wa Uhuru si wakenya!
Kwani kila mwenye gari anauwezo ??? Wangap gari zinawatokea kamasini 🤣🤣 tatizo linabaki unamsaidiaje mtu wa chiniHehe,,unaweza kuwa na gari na chakula ikose,,hujielewi wewe🙄🙄
Mwanangu nipo sema nimebanwa na majukumu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna yule mwamba mwaka huu mwanzoni au mwaka jana mwishoni alikuwa nairobi akawa anatupia uozo wa nairobi humu akafanya wakunya wapotee humu.
Yuko wapi?
Na 16 lanes waitaje??? 🤣🤣🤣 Au ndio ule upuuzi wenu wakuita hii ushuzi ultra modern8 lane ni superhighway katika nchi yoyote ile including USA.
Niletee Thika superhighway ya 8 lanes hapa nicheke😂😂
Hio ndio jadi yao na ndio hio kitu inakula nyama zao 😄😄😄Jamaa wanaubaguzi Sana 🙄
Mkunya na mnaigeria na watu wa nchi za West Africa wanaogopea Sana kwa ubaguziHio ndio jadi yao na ndio hio kitu inakula nyama zao 😄😄😄