Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii video najua Malazy wataitazama na kunyamaza. Lakini hii ndio dawa yenu.


Video of the whole stretch in a fast-forwarded motion.



Sasa kama inatoka kwa Mkunya na ni kitu cha kawaida kwa sisi! Unataka tukusifie Mkunya?
 
mbona hata familia zinalistiwa kwenye list forbes.. mf tu unaweza kukuta list ya someone’s family net worths
zinakuwa listed unter family category sio? Mbona unajijibu mwenyewe? Hivi unajua Mohammed Dewji huwa anakuwa-listed kama individual kutokana na shares zake ndani ya METL ila METL group is more than hiyo $1.5 bln! Ni kama ninavyosema Bakhresa group yes na FYI the group worthiness inapita $3 bln ila wako wengi kama familia!
 
Wamepuyanga sana,500 companies kwa usd 1.7 bln!ni kichekesho cha hali ya juu!
Kampuni zenu 30 hku zina thamani ganina je tukigawa moja moja mtafikia zile za kenya kw mahesabu ya haraka..

Hzo kampuni moja moja ukigawa kibongo kibongo zina worth bilion kadhaa
 
Asante kwa kutuonyesha jinsi Wahindi walivyo matajiri huko bongo. Ndio nashangaa, kama wahindi na waarabu wana hiyo mali yote nyie mnabaki na nini ukitazama jinsi uchumi wenu ulivyo mdogo.
Top 100 weusi wanahesabika
Top hamna hata msukuma mmoja, yani watanzania halisi bado wanaliwa hku wahindi wakisingizia undugu
 
Top 100 weusi wanahesabika
Top hamna hata msukuma mmoja, yani watanzania halisi bado wanaliwa hku wahindi wakisingizia undugu
yani watu 120,000 wamedominate list ya top 100 richest alafu the rest 56M wako kwa mitandao wanacelebrate? Shida kubwa hii. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom