eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Hii ni movie ya Hollywood ama??
🤣🤣🤣
Hii ni movie ya Hollywood ama??
Msalaba wa msaada😂😂😂😂😂😂 pita post zangu uone vitu vikali. Ushamba mzigo.Takataka the Amercans build it early 1900s...by the time land were cheaper than the bridge cost wise...leo unasema sisi tujifunze jinga kabisa nyie.....watu wako hukuacha kuturudisha 1900s kwa ujinga wenu View attachment 1780721
Tony Kwa hiyo na huyu hapa sio mkenya🙄🙄wabajuni na sijui wagunya Sana Sana watu wa lamu nao sio wakenya? View attachment 1780722
8 lane ni superhighway katika nchi yoyote ile including USA.Na wenye 16 lanes waite nn kma hio 8lanes inaitwa super?? 😂😂😂 au ndio maana ile ushuzi mliofungua juzi mukaita ultra modern👇👇👇👇👇 View attachment 1780145View attachment 1780146
Hata watoto wa Uhuru si wakenya!Tony Kwa hiyo na huyu hapa sio mkenya🙄🙄wabajuni na sijui wagunya Sana Sana watu wa lamu nao sio wakenya? View attachment 1780722
Hujawahi jua? Tena zile za mama ntilie. Zile za kuuza chapati chafua 😂 😂 Nikipata hizo picha nitazituma humuHaiya,you mean kuna vibanda at the heart of Dar cbd🙄🙄🙄😳😂
😭😭😭😭😄😄😂😂Siwezi kuamini Mimi,ama ni Photoshop 😂😂Hujawahi jua? Tena zile za mama ntilie. Zile za kuuza chapati chafua 😂 😂 Nikipata hizo picha nitazituma humu
jione apo...si dharau lakini wacha tu....kagua hilo video from 1:50...utakutana na yamepangana utadhani ni SGR...😭😭😭😭😄😄😂😂Siwezi kuamini Mimi,ama ni Photoshop 😂😂
It's real picture! And there are many such stalls hapo cbd😭😭😭😭😄😄😂😂Siwezi kuamini Mimi,ama ni Photoshop 😂😂
Kuna yule mwamba mwaka huu mwanzoni au mwaka jana mwishoni alikuwa nairobi akawa anatupia uozo wa nairobi humu akafanya wakunya wapotee humu.
Yuko wapi?




Mama mwenyewe sio mweusi. Ni mwarabu. Ni dhahiri kwamba huyo mama ana damu ya kiarabu. Narudia tena huwezi kupata mtu mwenye ngozi nyeusi hapo Tanzania akiwa na pesa nyingi kiwango cha waarabu wa huko kwenu. Msukuma wa huko hawezi kuwekeza kiwanda kama hiki. Mama huyu ana asili ya kiarabu.
View attachment 1780277
Nataka uniletee mama mweusi kama huyu hapa chini. Leta ngozi nyeusi kama hii iliyowekeza mamilioni ya dola huko Tanzania.
Nataka kuona ngozi nyeusi kama hizi
View attachment 1780278View attachment 1780279
Tony my bro , watanzania wa pwani/ mashariki na kaskazini sio watu weusi too much asilimia kubwa ni watu waliochanganya asili za kiarabu kwasababu hayo ni maeneo ambayo waarabu walifika zamani na kuanzisha familia nasi, mikoa kama tanga, unguja na Pemba, Kilimanjaro, manyara ,singida, tabora na Dodoma kidogo watu wa haya maeneo wengi sio weusi tiii, ni watu ambao wamechanganya asili , sisi sio kama nyinyi uko kwenu coz nyie mlibaguliwa na mzungu na ndio maana 99% of guys ni weusi tiii, waarabu walitufanya ndugu zetu tukaishi na tukazaanao .. Ila wote sisi ni watanzania mzee wanguHuyo mama sio mtu mweusi. Wacha uongo zako.
Sawa hamna shida.Tony my bro , watanzania wa pwani/ mashariki na kaskazini sio watu weusi too much asilimia kubwa ni watu waliochanganya asili za kiarabu kwasababu hayo ni maeneo ambayo waarabu walifika zamani na kuanzisha familia nasi, mikoa kama tanga, unguja na Pemba, Kilimanjaro, manyara ,singida, tabora na Dodoma kidogo watu wa haya maeneo wengi sio weusi tiii, ni watu ambao wamechanganya asili , sisi sio kama nyinyi uko kwenu coz nyie mlibaguliwa na mzungu na ndio maana 99% of guys ni weusi tiii, waarabu walitufanya ndugu zetu tukaishi na tukazaanao .. Ila wote sisi ni watanzania mzee wangu
Mbona mapema sanaaa kuanza vurugu?