Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,906
- 103,770
ina maana chakula jamaa?Haya msikieni huyu boga 🤣🤣🤣
ina maana chakula jamaa?Haya msikieni huyu boga 🤣🤣🤣
And that's is Nairobi,,😍😍 si ndyo baba yao
And that's is Nairobi,,😍😍 si ndyo baba yao
Poverty is damn bad!😂😂😂😂, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!😂😂😂😂Asante kwa kutuonyesha jinsi Wahindi walivyo matajiri huko bongo. Ndio nashangaa, kama wahindi na waarabu wana hiyo mali yote nyie mnabaki na nini ukitazama jinsi uchumi wenu ulivyo mdogo.
Hata hio pandemic hua munaisingizia tu 🤣🤣🤣👇👇👇 nchi ilishakufa kabla ya coronaPoverty is damn bad!😂😂😂😂, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!😂😂😂😂
Results: Tz inaongoza kwa utapia mlo 😂😂😂.., effects ya ufukara unaosababisha kukula chakula ovyo ovyo.,Mihogo![]()
Na kama ulikua hujui kenya ndio ina leads kwenye gap between poor and rich na kama unabisha sema😃😃😃😃 nchi yenewe 40% watu hawana ajira wala kazi alaf gap isiwe kubwa, au aliewaroga alisahau kufukia kibubuPoverty is damn bad!😂😂😂😂, nchi haina middle class kamwe., Ni juu kisha chini., Dar 90% low life, ushuzi kote kote., vijakazi na vibaraka wa wahindi na waarabu, duuhh!., Mambo gani haya!😂😂😂😂
Hata hio pandemic hua munaisingizia tu 🤣🤣🤣👇👇👇 nchi ilishakufa kabla ya corona
😂😂😂😂😂Na kila wakati nikikuita kilaza sio utani ni ukweli😂😂😂, so if someone is not employed, hayuko kwa employment records yeye ni masikini?😂😂😂, pimwa mkojo dogo.,😂😂😂., What of your middle class?.., statistics.....Na kama ulikua hujui kenya ndio ina leads kwenye gap between poor and rich na kama unabisha sema😃😃😃😃 nchi yenewe 40% watu hawana ajira wala kazi alaf gap isiwe kubwa, au aliewaroga alisahau kufukia kibubu
Vipi MZEE ulipotelea wapi.. .?😂😂 Leta majibu, ni raw materials gani tunawaizia alaf ninyi mnazi process for export.? Twende taratibu taratibu...and Kenya will pay, hakuna kusamehewa deni.., watch and see.., uchumi wa kwenye makaratasi 😂😂😂😂😂
Wahindi na Waarabu wanawala vizuri sana hawa watu weusi. Imagine nimeshangaa kusoma comment moja ya Mlazy hapo juu eti Bakhresa family ina networth ya $3 billon. Halafu kwamba Metl ambayo ni kampuni ya familia ya akina Mo Dewji pia ina networth ya $3 billion. Ukiongeza Rostam ambaye ana pesa inayokaribia $1 billion basi unapata picha hii.
1. Kuna familia mbili zenye asili ya kiarabu/kihindi ambazo zina networth ya $3 billion each. Hio ina maana kwamba familia zote mbili zina total networth ya $6 billion.
2. Ukichanganya hio $6 billion ya hizo familia mbili na $1 billon ya Rostam basi unapata $7 billion.
3. Gdp ya Tanzania ni approximately $70 billion.
4. Sasa familia tatu zinamiliki $7 billion na uchumi wao ni wa $70 billion hio ina maana kuwa familia tatu zinamiliki asilimia kumi (10%) ya uchumi wa Tanzania. This is a very unequal society where wahindis and waarabus control most of the capital of the country. 3 families controllimg 10% of the economy of a country is nothing to be proud of.