Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

standard of quality in Kenya and Tanzania can be demonstrated by quality of their bureau of standards building
low quality standard
IMG_1620720124.711976.jpg

high quality standard
IMG_1620720162.294609.jpg
IMG_1620720178.801855.jpg
 
So ishu Ni muda au ishu ni hizo biashara holela?
Then hujaona watu wamepanga vitu Chini wanauza kwenye hiyo video ya kwanza na ya pili...what's difference na hicho ulichokiona Tz au kwakuwa hujaona miss ikiuzwa?
Hii ya matoroli ya maji ntatuma soon nilipiga mwenyewe na simu yangu pale Upperhill Crown plaza hotel kwenye Ile road pale Kati
Huwezilinganisha mtu ambaye anauza bidhaa kwenye mkeka na mtu ambaye amejijingea kibanda katikati mwa mji. Those are two different things.

Secondly, huyu wa kuuza chini (Nairobi) ako huko kwa masaa machache tu kila siku ila yule wenu amepiga kambi kule kijeshi!

Lastly, mbona usumbuke na selected cases kama hizo za muuza maji kama hata wewe mwenyewe uko na shida kuidhibitsha huku? Ingekuwa ni jambo la kawaida Nairobi picha kama hizo zingekuwa nyingi sana mitandaoni na hungekuwa na ugumu wa kuzipata. Pengine ni hiyo siku tu ndio ulikutana naye. Ungeona wako wengi huko na trolley zao za maji wiki nzima au mwezi nzima then it could have made some sense. Personally, I have never seen water venders in Nairobi cbd on trolleys
 
Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.
 
standard of quality in Kenya and Tanzania can be demonstrated by quality of their bureau of standards building
low quality standard
View attachment 1780469

high quality standard
View attachment 1780470View attachment 1780471
Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
 
Unahisi hilo jengo la TBS lingejengwa bila ya kuwa na government support and financial supports?
Nikuulize Nyang'au unahisi hilo jengo humo ndani lipo empty..Halima machine wala staffs wa kuvioperate?
 
Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
Tanzanians must learn, akirudi tena mpuuze.
 
Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.
Nairobi kuna shida ya maji but that's not reason enough ya kucreate your own stories and make it look like it's the gospel truth. I have lived in Nairobi for many years but I think I have been lucky enough to live in areas that do not experience this problem. Secondly, I have never seen water venders in Nairobi cbd on trolleys so wacha kulazimisha mambo kwa sababu umeshindwa hata kuthibitisha madai yako.
 
Iwill share here..ipromise
 
Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
Kuelimisha mitanzania ni balaa!, alafu wanasema hatuwapendi but ni fikra zao zinashangaza.,
 
Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.
"A water bowser delivers water in the city centre."

Na ukumbuke ni mji wao mkuu!

Vipi kuhusu zile counties zingine zilizotelekezwa?
IMG_20210511_112103_159.JPG
 
3 May 2021

Arrivals \\ ROVOS Rail luxury train arrives in Lusaka from South Africa en-route to Dar-es-Salaam

The Rovos Rail is a private luxury train that goes from Pretoria to Dar-es-Salaam on a 2 week journey. It comes through Victoria Falls, Livingstone and proceeds through Lusaka Kapiri and onwards to Tanzania.
Source : the khumba guy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom