Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Nairobi ni chafu, potholes everywhere, dusting on air all over, roads are pathetic and presidential motorcade filled with heaps of shit from back to forth, how on earth Toyota Noah allowed to join the damn motorcade? Full of second hand Japanese tetanus scraps [emoji706][emoji706][emoji706]


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana

nimeziona hizo road marking and pavement wanazozitaja humu kwa bashasha na madoido .. hongera sana kwao kama hizi ndo barabara zao nzuri(ambazo mpk msafara wa Mkuu wa nchi wa nje anastahili kupitishwa)
 
Iwe fair ndio hyo ya 27km but toll fee in 30yrs? Hivi mna akili sawasawa nyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wajinga sijui walirogwa na nani. Huku bongo beberu alitaka kufanya hivyo kwenye Chalinze express way (4 lanes). Mwamba aliwaambia tulieni hapo pembeni muone ninavyotandika 8 lanes kwa pesa yangu mwenyewe. Chombo inajengwa mpaka Kibaha na kupita ni bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ichoboy01 mimi jana nilikuwa nauliza Geza Ulole pesa ya kujenga pipeline hii itatoka wapi lakini hakunijibu. Mimi naamini kwamba pipeline hii haitajengwa licha ya deal hii kusainiwa. Deni la Kenya lipo juu sana sidhani kama tunaweza kuomba pesa zaidi kwa ajili ya kujenga mradi huu. Na hata ikiwa tutaomba deni basi sisi tuna miradi zingine ambazo tumezipa kipaumbele zaidi kushinda huu mradi.
Kama serikali yenu itakuwa na akili itaupa kipaumbele mradi wa gas. You need gas more than hizo expressways mnazopigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani unaongea ujinga sana .kwa mfano jirani hapa tz yani vikampuni uchwara 500 kutoka kenya zimewekeza eti 1b $ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukigawanya hapo 1b÷500=2m each [emoji23][emoji23][emoji23].. kuwekeza dola milioni mbili kwa kila kampuni ni mambo ya ajabu sana [emoji23][emoji23].. nyie kwenu uko hakuna kitu bhana ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivyo ni vikampuni uchwala yaani wakenya wanavituko sana kampuni 500 wanamshiko wa $1.2b kweli ni upuuzi wa hali ya juu
 
Eti waoga, ni nyie hamuna mental frame ya ku survive any global business environment that need shrewdness and some level of intelligence to navigate through. Jikubali wacha vijisababu uchwara, ukweli uko wazi., basi kama ni ukweli mko sawa na tunawaogopa mngekua DRC kuliko Kenya[emoji23][emoji23], kuna soko kubwa kule! utasema Kenya imewafungia?., Na Burundi and Rwanda je? Hawa ni majirani zenyu mbona bado Kenya inawafunga bao huko? South Sudan? Ghana? Inaonyesha fikra zako ni outright fallacious! East Africa nyie wanyonge sana ikija biashara nje ya border zenu, waganda wamewashinda kwa hili., na soon Rwanda wako njiani.,
The only thing which your good at is barking [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Prove that by showing me other investments mumewekeza kwa neutral ground vs Kenya, kwa mfano DRC, Rwanda, Uganda, Burundi, Ghana, Zambia, Nigeria, South Sudan etc., kama mko na uwezo, wacha kupiga kifua yenye hamuna[emoji23][emoji23]., Kama ni ukweli kwa sasa hivi hayo makampuni yangekua yameteka soko la EAC na SADC kuliko Kenya., na pia profits zao inalazimu mkusanye makampuni kama zaidi ya tano ndio ilingane na mapato ya the best from Kenya,[emoji23] mapato ya 10 best performing companies za Kenya kwa ujumla ni zaidi ya kampuni zenu 30 to 40! Unajua hilo?.,


Hiyo ni azam SA.

Leta na wewe plant/factory yoyote ya Kenyan origin nchi yoyote ile nje ya Kenya. Siyo lazima iwe SA maana najua kule humuwezi kugusa. Maana parachichi zenyewe wanataka za bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profits ya Azam ni ngapi?.,can it stand with Kenya's top 5 even kwa profits?[emoji23][emoji23][emoji23] kilaza., usinijibu hili najua., endelea kujitekenya na kucheka dogo.[emoji23][emoji23] Azam ni TV[emoji23][emoji23][emoji23].,
Takataka kazi kulialia tu....endeleni na izo protectionism ndio kitu kinawa saidia ...sikuu mkachia mtaona vile tutawapumulia...waulizen vyema wakulima wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mjomba huwezi kuwa na akili timamu, heb taja kampuni kubwa hapo kwenu kenya ambayo inaweza kushindana hata na Azam tu kwamfano.? Infact sisi tunauza bidhaa nyingi uko rwanda, Burundi, Congo n.k .. binafsi hakuna bidhaa za kenya popular tz,
Mkuu, huyo nimempiga spanner moja sidhani kama ataitaka hiyo battle tena. Ni mwendo wa;
IMG_20200906_223714.jpg
IMG_20200922_153526.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prove that by showing me other investments mumewekeza kwa neutral ground vs Kenya, kwa mfano DRC, Rwanda, Uganda, Burundi, Ghana, Zambia, Nigeria, South Sudan etc., kama mko na uwezo, wacha kupiga kifua yenye hamuna[emoji23][emoji23]., Kama ni ukweli kwa sasa hivi hayo makampuni yangekua yameteka soko la EAC na SADC kuliko Kenya., na pia profits zao inalazimu mkusanye makampuni kama zaidi ya tano ndio ilingane na mapato ya the best from Kenya,[emoji23] mapato ya 10 best performing companies za Kenya kwa ujumla ni zaidi ya kampuni zenu 30 to 40! Unajua hilo?.,
Uyo azam kawekeza mpka South Africa we jinga
 
Hunijui Kaka,mie naeza nunua Bugati na Niichome,unasikia naweza nunua mpaka ikulu yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Don't think you know me,Niuraigwa wee kigui Giki??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] takataka nyingine inayo mwiga mapesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
My point here[emoji23][emoji23][emoji23] popularity sio profitability [emoji23][emoji23][emoji23], the reason Azam is popular in Tz but not the leading., unajijibu tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] just a bunch of excuses
 
makampuni 500 ya kikenya wametumia 1.7b$ Tanzania .. akina MO, Bakhresa, Rostam, ASAS na Lake Oil pekee wanaweza kuwekeza zaid ya 1b$ kwa pamoja
Take it from me. Kenyans wakiacha protectionism uwekezaji ukawa huru basi tarajia makampuni yetu ya uzalishaji kama MeTL, azam, asas, et kwenda ku-engulf uchumi wao.

Makampuni yao mengi makubwa huwekeza kwenye mere business na si real production. That way "mabepari" wetu kama akina Rostam wakiingia kule tunatake over.

Imagine Taifa Gas ya Rostam ikawekeze Kenya wakati huu ambapo hiyo LPG ni import. Tukianza produce LNG for export si ndiyo ata(tuta)wameza kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwez kuja kwangu afu ukaanza kusema mbona nina masofa machafu hiv na ya low quality .. lazima usifie.. mf ‘wow una TV nzuri hiv, nimeipenda ‘
Mama yuko mfungoni kwhyo usimtilie maneno mdomoni mwake
 
Marehemu mumewenu kwa nini alikuwa anataka kubadili katiba aongoze milele kama sio mpenda madaraka?

Mume wenu alikuwa mgonjwa akatunga propaganda za kijinga aliposhindwa kusafiri

Hesabu hiyo ni hadi 2035
Yani ww uo muwasho unao kusumbua inafaa ukunwe mapema utaishia kuwa tahiraa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom