. Uliambiwa ukabisha haya SASA majibu hayo hapo, nyie hamtuwezi hata kidogo na tukipata fursa ya kufanya investment kwenu basi ujue ndio tumewatawala, mnatuogopa na vibiasha vyenu ucharwa
huyu ndo mwamba sasa, na uwekezaji wake unakuaga sio wa kitoto
hiv mmenotice wawekezaji (individuals not companies) wa kitanzania wana nguvu (mitaji) kuliko wa kikenya .. MO, Bakhresa, Rostam , Asas na yule wa Lake Oil wakiwekeza kenya kwa ujumla watawekeza zaid ya $1b