Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Hiyo ni azam SA.

Leta na wewe plant/factory yoyote ya Kenyan origin nchi yoyote ile nje ya Kenya. Siyo lazima iwe SA maana najua kule humuwezi kugusa. Maana parachichi zenyewe wanataka za bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umemaliza kazi hapo wao huwa wanaishiaga tu mara ooh sisi tunamakampuni ukiwaambia waonyeshe hizo kampuni na ahughuli zinazofanya wanaishia kupiga kelele tu,,,,

kampuni za kenya nyingi ni za uchochoroni kampuni za magumashi
 
Na kama ningeweza kumjibu ni eti waTanzania wachache ndio wako na uwezo wa kuwekeza nje ya nchi yao., how many tried but failed?., Hawawezi kufika kumi nakuambia!., A sober discussion there, wacha tuone matunda yake.
Kwamba Wakenya wanazidi watanzania kwa pesa? Nyinyi mbn mnakuwa na vichwa kama kuku, kwnn mnasahau mapema hivii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa simngekua DRC na Uganda ama Rwanda? Kulikoni?[emoji848][emoji848]
Sasa Uhuru kawapa ruksa ya kufanya biashara bila business visa or work permit, ona wenzenyu walivyo haha![emoji23][emoji23][emoji23], Mtajua hamjui.,
View attachment 1774396
Kasema ukweli, mumezubaa kishenzi, wanyonge kweli nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa kwanini upo hapa kubishana na wanyonge walio zubaa haujioni kuwa wewe tahila[emoji3526][emoji1787]
 
Azam has weak products, he sells a lot in Mombasa, very useless stuff, kule coast ako na watu wa ukoo wake na marafiki, huyu Kenya hatoboi, poor standards za products zake haziwezi survive here, energy drinks na juice ziko na after taste!!., Kenya shoprite walishindwa wakafunganya virago ndio Azam ataweza? Abaki tu kwa media, pengine atajaribu kidogo.
We fala kweli yn Azam anauzia wazungu huko ulaya na wamekubali standards eti we mnuka mavi wa mathare unasema hazina standard unajisikia lkn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya Bugatti Bei gani wakulungwa [emoji23]
 

Attachments

  • IMG_7194.jpg
    IMG_7194.jpg
    98.9 KB · Views: 23
Unadanya wenzako😂😂, Azam can't beat GOTV and Zuku in coast😂😂😂, unapenda kujikweza mr. Mwanza, sasa wewe unaishi Mombasa kunishinda eti?., Uko ovyo sana, wewe ni muongo sana, nikama wewe ni kafiri hivi, hauogopi kudanganya😂😂😂😂., Mwehuu😂😂😂
🤣🤣🤣 mm nimefika mombasa nina mdugu mombasa wamejaa sasa unafkiri utanidanganya nn wewe au niulize usikie sahii😁😁😁
 
Mombasa mama mzazi wa Dar is slum😂😂😂😂, kwa camera angles mmetisha😂😂😂 for deceptive perception 😂😂hapa ndio mmekomaa😂😂😂.,
Mamake Dar huyu
👇👇mpe bibi heshima yake😂 in Tz ni Dar pekee😂😂.,

View attachment 1774419
View attachment 1774420
Farthest view., lakini utaelewa tu.,
View attachment 1774422

Anajenga three level pia,😂😂😂😂 kaa utulie.
Mujionee wenyewe musiseme tunamuonea 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 alaf mtu anapost na filter mia mbili
CAAC0AE0-4774-47ED-BC19-F1C9731C82D4.png
5753A853-8968-4C49-A005-4149600A5A79.png
59174A16-3E3C-4280-BDE1-BEE09C5F810A.jpeg
mia mbili
 
Back
Top Bottom