Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
acheni uwoga,,waambieni wafanyabiashara wenu na hiyo government yenu kuwa wafungue spana ,Tz haiji kenya kuchukua nchi bali inakuja kuteka biashara ueoga hauna maana,,,
huku sisi tunawakaribisha mje kufanya biashara tena mje wengi tu wakutosha
Nilijua hautapata jibu mwafaka, unatapatapa tu😂😂., Uganda betters u, pambaneni, wacheni uzembe na visingizio.
 
😂😂😂😂😂 can't argue with blind patriotism.😂😂😂.,
Taja brand mzee twende sawa .. acha kujadai unajua vitu alaf kumbe hola, kuna brand hapo kwenu kenya ya kushandana hata na Azam.?
 
We mjomba huwezi kuwa na akili timamu, heb taja kampuni kubwa hapo kwenu kenya ambayo inaweza kushindana hata na Azam tu kwamfano.? Infact sisi tunauza bidhaa nyingi uko rwanda, Burundi, Congo n.k .. binafsi hakuna bidhaa za kenya popular tz,
Profits ya Azam ni ngapi?.,can it stand with Kenya's top 5 even kwa profits?😂😂😂 kilaza., usinijibu hili najua., endelea kujitekenya na kucheka dogo.😂😂 Azam ni TV😂😂😂.,
 
ni kweli kabisa
 
sasa unadhan huyo mama ni mara yake ya kwanza kufika kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

acha ushamba
Amewaumbua, wewe wa vijiweni hauna lako, she has more exposure than you guys here, she can do proper comparison analysis sio shabiki za kitoto.,
 
Nilijua hautapata jibu mwafaka, unatapatapa tu[emoji23][emoji23]., Uganda betters u, pambaneni, wacheni uzembe na visingizio.
taja hizo kampun zenu zilizo bongo zinazalisha nini ,,,
tukucheke kidogo...[emoji1787][emoji1787]
 
Profits ya Azam ni ngapi?.,can it stand with Kenya's top 5 even kwa profits?😂😂😂 kilaza., usinijibu hili najua., endelea kujitekenya na kucheka dogo.😂😂 Azam ni TV😂😂😂.,
Kumbe hili jomba jinga sana 😂😂😂. SASA hata investment za Azam hakuna kampuni ya Kenya inayoweza kufukia , mtatuzid vipi kwenye faida SASA.?😂😂 .. et Azam ni tv .. 😂😂.. taja kampuni kubwa kama Azam moja tu acha kujifurahisha kakaangu ,alaf tulinganshe hapa investment zao na impact yao ..sio eti unataja taja profit alaf vikampuni vyenyewe ni vikampuni uchwara .. taja kampuni best/top turukenayo tulinganshe na kampuni za tz mbona simple tu bro
 
[emoji1787][emoji1787] usiupinge ukweli mzee ojwani,
watz huwa hatufungui vikampuni uchwara sisi tukija kuwekeza tunawekeza kweli na kwa taarifa yako kama haujui wafanyabiashara wote wakubwa wa tz waliotaka kufungua viwanda kenya government yenu ikishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara waliwaletea figisu figisu mpaka wakastopisha mipango...

Azam akianzisha kiwanda huko atateka soko la kenya nzima..

ninyi ni waoga mpo radhi kuweka mzungu ila Mtz akitaka kufanya jambo huko huwa mnajikanyaga kwa kuweka figisu
Watz Wacheni uongo,Nyinyi Watz Ndio Mlikuwa mkisumbua Investors na Propagandas,Investers wakifuata kanuni Zote za Biashara TZ,Pesa zianze kuingia unasikia akipigwa Tax za ajabu ajabu na kuekelewa makosa za kifalafala,Lakini Suluhu ame Suluhisha Yote
 
Amewaumbua, wewe wa vijiweni hauna lako, she has more exposure than you guys here, she can do proper comparison analysis sio shabiki za kitoto.,
hatujuani mzee,hapa hakuna ushabiki,,,,
ukichat na watu jf usijifanye ndiyo umemjua mtu

msifie mtu ili bichwa livimbe zaidi ila moyoni unajua ukweli wako huwa funa wang'ong'a kisogoni,,

hujui watz vizuri wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watz Wacheni uongo,Nyinyi Watz Ndio Mlikuwa mkisumbua Investors na Propagandas,Investers wakifuata kanuni Zote za Biashara TZ,Pesa zianze kuingia unasikia akipigwa Tax za ajabu ajabu na kuekelewa makosa za kifalafala,Lakini Suluhu ame Suluhisha Yote
. Majibu hayo hapo
 
acha ubishi wakitoto wafanyabiashara wa nchi mbili wapo hapo nairobi wanazungumza kero zao ,,,
wewe usiye na biashara hata ya shoe shine unabishana nao we kama nani upinge[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe hunanga akili. 90% of Tanzanian's newspapers and magazines are controlled by either NATION Media Group or Royal media Group.

View attachment 1774052
Yani nimecheka sana mwananchi ni gazeti moja na tena 49% sasa unataka kuniambia 90% newspaper za tanzania inamilikiwa na kenya ukipata hio official source inasema 90% ya newspaper tanzania iko under control of nation media nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania ina kampuni za newspaper zaidi ya 200wewe unataka kutuambia nn???😀😀😀
E53CE401-1404-4808-9501-E0D638CAD803.jpeg
9031B443-C3C3-42E8-8757-772FD5B67E89.png
 
Back
Top Bottom