Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
We jombaaa Yosef Festo njoo hapa nikupe hii sisi sio levels zenu kabisa ..alaf kuanzia leo muache kujilinganisha nasi kwa kampuni kubwa hapa EA . Huu ni uwekezaji mkubwa wa Azam South Africa