Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 si ulikuwa unasema hamtonunua gas wala umeme wa Tanzania? Kuja utuambie imekuwaje sasa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji3545][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo kiburi wanapata wapi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wao wanafkiri ni project ya mama kumbe wamesahau ni project alikua nayo magufuli na kaizungumza sana kwenye hotuba zake sasa wao wanasahau wanafkiri ni mama ndio kafanya yote hayo sasa wanahisi kama amekwenda kinyume na magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni wajinga hawana mfano
Kiufupi mama anaendelea pale alipoishia JPM.

Ndio maana anasema "Kazi iendelee"

Naomba muwe na imani na mama SSH.
 
Labda kama ni vichaa wajenge mtambo wa kucompress wakati hawana ges? Tukumbuke mtambo wa kuibadil ges kuwa liquid sio cheap we are talking about a billions of usd...kuna njia nyingi za kuwa kuwangamiz hata wakijifanya vichaa tunaweza pandisha bei ya ges kamwe huwez shindana n mzalishaji daima....
Pia wameamua kuipitishia mombasa sababu ni short root from Dsm...
Investors Wakenya watanunua hayo ma compressor na watayaleta TZ na Mombasa,wanapenda investing Kama hujui and who hates it,Difference Ni kuwa watu wengine Wana Pesa ila hawazitumii kutafuta zengine🤔
 
Sijawah kuskia kipindi cha moi ImF wakitoa warning kama hii🤣🤣🤣👇👇👇
Humgesikia alikuwa msiri Kama Magu,Mwishowe ikalipuka haikuwa Siri Tena,Kibaki akichukua uongozi ilibidi atie bidii Kama Suluhu anavyofanya😃
 
Investors Wakenya watanunua hayo ma compressor na watayaleta TZ na Mombasa,wanapenda investing Kama hujui and who hates it,Difference Ni kuwa watu wengine Wana Pesa ila hawazitumii kutafuta zengine[emoji848]
Wacha kuongea ujinga...uchumi wenu wenyew unaji haria apo...
 
Hao kima hawajui na hawaelewi chochote juu mkoloni aliondoka (ga) na akili zao [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ndio ulikuwa unaaminishwa kuwa wana elimu bora!

Kuna ile takataka ingine ilikuwa inasema hawatonunua umeme wa Tanzania watanunua kule Ethiopia!
Keshakimbia, huwa hawachelewi kukurupuka kuna kauzi wamefungua zen wakakimbia wenyewe kiongozi wao Chizi MK eti Tz haipo top 20 ya nchi zinazofadhiliwa na AfDB, ss wao wakatafsiri eti Tz haipo hata 20 bora ya nchi zenye infrastructure bora Afrika according to AfDB, ss walivyo wazembe hawajiulizi kwenye hyo list Djibout ipo mbele ya Tz, SA hata Nigeria haya malofa haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Investors Wakenya watanunua hayo ma compressor na watayaleta TZ na Mombasa,wanapenda investing Kama hujui and who hates it,Difference Ni kuwa watu wengine Wana Pesa ila hawazitumii kutafuta zengine[emoji848]
Kwamba mtanunua plant ya usd 30 bil zen mje muiweke Tz we mbuzi kweli wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom