Prove that by showing me other investments mumewekeza kwa neutral ground vs Kenya, kwa mfano DRC, Rwanda, Uganda, Burundi, Ghana, Zambia, Nigeria, South Sudan etc., kama mko na uwezo, wacha kupiga kifua yenye hamuna😂😂., Kama ni ukweli kwa sasa hivi hayo makampuni yangekua yameteka soko la EAC na SADC kuliko Kenya., na pia profits zao inalazimu mkusanye makampuni kama zaidi ya tano ndio ilingane na mapato ya the best from Kenya,😂 mapato ya 10 best performing companies za Kenya kwa ujumla ni zaidi ya kampuni zenu 30 to 40! Unajua hilo?.,