Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Kama Putin alivyokuwa akifanya.Wakenya tunakoenda mkileta zenu za ajabu ajabu tutakua tunazima umeme a.k.a stima, funga bomba la gesi, pia tunafunga border hadi mje kuomba tuwasamehe
Kama Putin alivyokuwa akifanya.Wakenya tunakoenda mkileta zenu za ajabu ajabu tutakua tunazima umeme a.k.a stima, funga bomba la gesi, pia tunafunga border hadi mje kuomba tuwasamehe
Chamazi Complex wanafunga Digital Banners!! So will definitely Look like SA Au Europe!! Vp Huko kwenu hali ipoje? View attachment 1773787
🤣🤣🤣👇👇👇 Mutalipa na nn na debt to GDP ratio iko 80% kwenye red line
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kule wamefunga kwenye kituo cha Daladala (Ma3 [emoji23])
do u ever say no to loans?ichoboy01 mimi jana nilikuwa nauliza Geza Ulole pesa ya kujenga pipeline hii itatoka wapi lakini hakunijibu. Mimi naamini kwamba pipeline hii haitajengwa licha ya deal hii kusainiwa. Deni la Kenya lipo juu sana sidhani kama tunaweza kuomba pesa zaidi kwa ajili ya kujenga mradi huu. Na hata ikiwa tutaomba deni basi sisi tuna miradi zingine ambazo tumezipa kipaumbele zaidi kushinda huu mradi.
I have no obligation to answer you.Jibu swai is that three or four level interchange 🤣🤣🤣🤣 ww unawazimu kichwani unafkiri githeri ile
Three blue towers as usual 😂😂 Do you know why I usually call Dar is slum a dead city? It's because you have been posting three towers day in day out since 2017, there is no new tower coming up in that dead city. Nairobi on the other is a paradise of buildings construction, every day a new tower is popping up. This is a new tower coming up in kilimani.
Lakin hapa hawa wanazengo walifeli aisee 30 years unalipa kupita Barbara ya ummaIwe fair ndio hyo ya 27km but toll fee in 30yrs? Hivi mna akili sawasawa nyie watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Three blue towers as usual [emoji23][emoji23] Do you know why I usually call Dar is slum a dead city? It's because you have been posting three towers day in day out since 2017, there is no new tower coming up in that dead city. Nairobi on the other is a paradise of buildings construction, every day a new tower is popping up. This is a new tower coming up in kilimani.
View attachment 1773899
Wewe unakuanga fala, Mambo ya pipeline ilianza 2011 hata before Magufuli akuwe President. Magufuli hakuwa anataka hiyo mambo ya pipeline kuja Kenya.Magufuli alisema kwenye hotuba yake kua tanzania inanayo mpango kujenga gas pipeline to kenya and uganda wacha uongo pimbi wewe 😄😄😄😄😄😄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uchizi ndiyo asili yako...Uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya. That's according to madam President.
Just accept that your city is dead. When we were doing SGR Nairobi was not dead like Dar is slum is now, Britam tower came up, UAP tower came up, Prism tower came up, UoN tower came up. So please spare me your bullshit excuses that you can't built more towers because mnajenga SGR.Who cares about your Counting Skills [emoji23]. We are doing other Projects ( Hydro power dam, Port, SGR, Bridges, BRT) . Just like sometime back, you were doing Thika Highway and SGR and we were building towers .
Who knows what will follow next.......
mwambie akutajie hizo kampuni zinazomilikiwa na wakenya zilizowekeza Tz ujionee vituko[emoji1787][emoji1787]Yaani $1.7B ndio unasema wakenya wameshikilia uchumi wa Tanzania. Unaakili kweli.
View attachment 1773126
unaropoka vitu usivyovijuaYeah, uhuru ni clever. Mambo ya gas ilianza time ya kikwete lakini venue Magufuli aliingia madarakani akaipin down until recently. The gas will make Kenyan companies to be more competitive in the continent more than ever that's why Uhuru is desperate for the pipeline. Another question is this, why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of Kenyan factories are located?
KCB bank.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uchizi ndiyo asili yako...
hebu taja hizo kampuni zinazomilikiwa na wakenya zilizowekeza Tz...
huyu ni wa kumtengenezea hash tag mzee anatufaa[emoji28][emoji28][emoji28] Hawatoshi hata mboga
Huyu mtu ndani ya minutes ana likes millions, hata wakenya wote waje ni kama hawapo
Wizara ya utalii wamtumie, ni bonge la asset, uzuri mwenyewe anaonekana anaipenda sana Tanzania