Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakuu leo mpango aliongea kwa hisia kali mno, aliongea kwa uchache lkn kwa hisia za uzalendo mno mpk ikanikumbusha ile speech ya Magu aliyoitoa mwaka 2015 wkt anazindua bunge, huyu mzee ukimsikiliza vzr unamuona Magu ameketi kuume ndani ya moyo wake.
Hajawahi kufokewa wala kutolewa hiyo wizara Toka Magu amchague hiyo inatosha kukuonyesha kwamba ni mtu makini.
 
Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.

Bro mimi ninachohofia akina MK254 et al wanaweza wakuripoti na wewe unyang'anywe uraia kama miguna miguna.
 
Magufuli kuna kitu katuachia cc Watz kitatusaidia sn mbeleni, amefanya viongozi wawe na hamu ya kuacha legacy, amefanya viongozi wajisikie wenye deni kwa wananchi, hii itasaidia kuzalisha wazalendo wengi tatizo ni kwamba kuna mapapa bado hayajakubali kubadilika.
Sasa hivi kila kiongozi atataka afanye vizuri kuliko aliepita ili aache legacy

Tukienda na hii hakika tutafika mbali sana.
 
Kunajamaa kanifurahisha nikakumbuka,
Aliapishwa tar 5,
Raisi wa awamu ya 5,
Amefanya kazi miaka 5 na miezi 5,
Alifariki j 5,
Akazungushwa uwanjani round 5,
Mwili umeagwa kwenye Mikoa mi 5,
Moya ni hii,,
Eti jamaa yule aliepiga pushup mwili ulipokuwa unapita eti alipiga pushup 5,
Bado nachunguza father alipiga pishup 5 au zaidi...
SGR ina phase 5,
 
Ukweli utakuweka huru siku zote wabongo wengi tumekaa Kenya na nchi nyingi tofauti naweza nikasema tuna exposure kuwazidi nyie na ni wakenya wachache mno ambao huwa wanakemea mambo ya kisenge we bwana Toni umestaarabika kuwazidi wengi humu hongera Sana 👏👏👏
mzee tony kaishi nje uko Czech republic kwaiyo roho safi.. hawa wengine visungura pori havijatoka ata county zao wanakuja kumsakama tony mtu wakimataifa nyie wakunya nyie tunawaona
 
Huyu Bwana Mapesa a.k.a Teargas cku hz hii thread anaichukia kweli kweli, tangu atoe boko amekuwa hana amani kabisa, anajua akijitekenya tu namu expose juu ya boko lake basi anakuwa mpole

Na nikuambie tu Bwana Mapesa popote nitakapoona post yako juwa kwamba boko lako nali attach kwenye hiyo post, ivyo yani mpk uondoke humu jamii forums mana huna faida km kunguru tu
Teargas a.k.a Freemason nyamihela
 
Yaani nimefarijika sana, niwe mkweli hamu ya kwenda kule kwenye Sea wall yaani Ocean road kule nilikuwa napenda kwenda lkn huwezi amini hamu imekata nahisi km hakuna mvuto maana nilikuwa nafurahia nikiona mimawe ile ilivyojazwa pale halafu nakumbuka na Appearance ya Jpm kama anafurahia kuona Tz inakuwa na miundombinu konki nilikuwa nafurahi sana ila sasa i need time to whipe out hii loneliness kwa kweli.
Na leo kwa ile speech nimehisi km Jpm yupo around.
Kama ni wimbo na maigizo ya kutatua kero za wananchi kwa kweli basi naupenda sana sanaaa. Waweke tu Repeat.
Unajua jpm alikuwa mzalendo yaani unamuona kabisa yaani anavyofurahia miradi,alikuwa anatamani nasi watanzania tuwe na mega projects, alikuwa ana uthubutu aisee rip mzee magu
 
Magufuli aliposema chanjo hizi si mzuri kuna watu walimbeza,mm huyu Rais ataendelea kuniuma Sana haki ya Mungu!

We acha tu kaka huwa sipendi kusikiliza hotuba zake mana roho inaniuma sn nikimfikiria huyu mzee, yn kaniuma sana sana cjui kwnn yn, mpk leo nimekuwa hata mitandao sioni raha kabisa mana kila nikifungua nakuta Magu Magu Magu.

Kaniuma sana Magufuli, napitia kipindi kigumu kweli kweli ila taratibu nmeanza kuzoea lkn daahh tupeane support tu wakuu.
 
Ila wadau tumepoteza jembe aisee
. We jamaa Angalia hizo marked inner roads ulizokua unataka kuoneshwa tz ,now hiyo ni Musoma uko maporini 😂😂 inner roads ndio zipo kama hivyo, na wew utuonyeshe Kijiji kama hiki uko kunya land kikiwa na marked roads NDINDA niambie bro nipige niendelee au nimsameh .?

j
 
Kesho msaliti atakuwa kwenye mdahalo alongside PLO, patachimbika wallahi
JamiiForums-1712696601.jpg
 
Sasa hivi kila kiongozi atataka afanye vizuri kuliko aliepita ili aache legacy

Tukienda na hii hakika tutafika mbali sana.
Miaka 5 ijayo hawa wote wanaomponda Magu watajua umuhimu wake mana watalazimika kutumia falsafa zake kupata kura na hapo ndipo watakapoumia vby cz Watz wa ss ni watu wa ku reason na co ndio mzee..
 
Back
Top Bottom