Unajua
Yosef Festo na
Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.