Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usitufanye wajinga sawa, uswailini my foot afu road imeparara mpaka imekua nyeupe.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1738543
Kwahiyo km jengo limeonekana ndio unataka kusema nini? Hebu niambie hapa ni uswahilini au town [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
tapatalk_1596488781856.jpg
 
Kwa Udhamini wa Bwana Mapesa [emoji23][emoji23].( My personal life)


View attachment 1738503


INNER ROADS ( hapa ni uswahilini) [emoji23] angalia Direction zote mkeka. ( NSEW)

View attachment 1738504

View attachment 1738505
View attachment 1738506
View attachment 1738507
View attachment 1738508
View attachment 1738509
View attachment 1738510
Safi sana. Ndio maana nikamwambia huyu mbwa coco wa kisumu kwamba ushamba unamsumbua. Haya mambo ya barabara za lami huku Tz sasa hivi mitaani kinaanza kuwa kitu cha kawaida tu.
 
Mkuu wewe ukumuelewa Tony254 na umechanganya mada kabisa maelezo yote kuhusu Nigeria kua mbele zaidi ya South mbona alitolea mifano mingi tu juu ya miundombinu + miradi mbalimbali iliyopo nigeria na bora kuliko ya South na Egypt

Pia kuhusu iooo mada ya nigeria kua na ma billionaire wengi blacks aliiongelea upande tofauti kabisa, na hao ma billionaire ndo wawekezaji wakubwa kwenye io miradi iliyopo nigeria.

Hapa akaonyesha kukubari kitu wanafanya blacks(billionaires) wa nigeria kuliko kutegemea whites kama investors akatoa mfano south kua wengi wa wawekezaji wakubwa ni whites kuliko blacks kua muelewa mzee Coco reborn
Kuna miundo mbinu gani nigeria ambazo ni bora kuliko SA na Egypt, wacheni utani jamaa
 
. We jamaa Angalia hizo marked inner roads ulizokua unataka kuoneshwa tz ,now hiyo ni Musoma uko maporini 😂😂 inner roads ndio zipo kama hivyo, na wew utuonyeshe Kijiji kama hiki uko kunya land kikiwa na marked roads NDINDA niambie bro nipige niendelee au nimsameh .?

Turkana ziko hamna jipya
 

Kenyans feeling superior for no reason. Combination is correct here.

mna kiherehere king sana

Combination sidhani kama ni lugha ya kitaalam. Najua utachukia lakini huo ndio ukweli. Majina haya ndio ya kitaalam na kila jina lina maana tofauti (Acquisition, merger na joint venture).
The best 007 ama nimedanganya? Nisahihishe kama nimekosea maana hata wewe unaelewa haya mambo.
 
Back
Top Bottom