LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,511
- 3,921
May be son of assistant chief of sinners! π π πSon of assistant chief awe na maisha magumu??? πππ sidhani
May be son of assistant chief of sinners! π π πSon of assistant chief awe na maisha magumu??? πππ sidhani
ππ Hii siyo babu lai, ni hili apa πSecond tallest building in Africa hio πͺlazima ionekane mbali, linganisha na hii yenu few metresView attachment 1738619
Hebu tuonyeshe hapa iyo turkana, usilete story mingi ππ,alaf unatakiwa ukumbuke Musoma haina hata hadhi ya kuitwa town ni kijijni kabisaTurkana ziko hamna jipya
Yaani nimefarijika sana, niwe mkweli hamu ya kwenda kule kwenye Sea wall yaani Ocean road kule nilikuwa napenda kwenda lkn huwezi amini hamu imekata nahisi km hakuna mvuto maana nilikuwa nafurahia nikiona mimawe ile ilivyojazwa pale halafu nakumbuka na Appearance ya Jpm kama anafurahia kuona Tz inakuwa na miundombinu konki nilikuwa nafurahi sana ila sasa i need time to whipe out hii loneliness kwa kweli.Dr Mpango kuwa Makamu Rais naona miradi yote ya Magu inakamilika hasa SGR, JNHPP.. ama kweli tumaini lipo.. polen wakenya, walidhan spidi itapungua
Wewe ni mwelewa sana wa mambo. Well said.Na mbn ameshasema hilo, ametoa hotuba fupi ambayo hakusoma popote, unajua mm napenda sn kiongozi anayetoa maneno pasipo kusoma cz huwa anatoa ya moyoni.
Kwa mimi ninayetumia adobe Merge ni kuifanya iwe moja kabisa, Combination nafikiri ni two but same mission auThough acceptable, a fair word would have been to merge since an appropriate word for merger acquisition terminology it could be better if the reporter used a word 'join'!
combine1
See definitions in:
All
Chemistry
Farming
verb
/kΙmΛbΚΙͺn/
noun
- 1.
join or merge to form a single unit or substance.
"combine the flour with the margarine and salt"
Similar:
amalgamate
merge
unite
integrate
incorporate
fuse
blend
meld
mingle
coalesce
compound
alloy
homogenize
synthesize
consolidate
bind
bond
join
marry
put together
unify
pool
intermingle
mix
intermix
affiliate
commingle
Opposite:
separate
- 2.
unite for a common purpose.
"groups of teachers combined to tackle a variety of problems"
Similar:
cooperate
collaborate
join forces
pool resources
get together
come together
join (together)
band (together)
club together
link (up)
go into partnership
unite
team up
form an alliance
form an association
league
go into league
throw in one's lot
gang up
Opposite:
split up
/ΛkΙmbΚΙͺn/
- a group of people or companies acting together for a commercial purpose.
"one of the world's biggest food and personal products combines"



Huyu na Simon na wadau kadhaa aiseeWewe Tony huwa unasema kweli mara nyingi, lkn hawa Wakenya wenzako humu hawapendi kabisa kusikia ukisema maneno hayo cz wanahisi umewasaliti wkt panapo ukweli ikikulazimu kusema unasema tu.
Nikikiona hicho kichupa nakumbuka Chapeni Kazi


, daah Mungu alituletea mtu huyu huenda atusaidie ktk hili jambo aisee maana imagine Dunia nzima Tz tu ndio no Lockdowns hahaha jamani




Kunajamaa kanifurahisha nikakumbuka,
Aliapishwa tar 5,
Raisi wa awamu ya 5,
Amefanya kazi miaka 5 na miezi 5,
Alifariki j 5,
Akazungushwa uwanjani round 5,
Mwili umeagwa kwenye Mikoa mi 5,
Moya ni hii,,
Eti jamaa yule aliepiga pushup mwili ulipokuwa unapita eti alipiga pushup 5,
Bado nachunguza father alipiga pishup 5 au zaidi...![]()



Hebu tuonyeshe hapa iyo turkana, usilete story mingi ππ,alaf unatakiwa ukumbuke Musoma haina hata hadhi ya kuitwa town ni kijijni kabisa
ππ Hii siyo babu lai, ni hili apa πView attachment 1738897πππ vipi unaogopa .? Mzigo unaitwa LAPF tower
Idiocy has tagged me π π π π ., peleka makasiriko mbali na mimi. I only deal with facts in debate, I dont tolerate opinions and skewed reasoning, hizo wewe baki nazo hakuna wa kukupiga. And have never said Kenya is any better per se, Sub saharan Africa is sick, it is too obvious, liko wazo kabisa, na hapa jf, especially hii thread ni debate mostly contrasting and comparison analysis, sio vita vya kukufa kupona, utoto niondolee kabisaa am not your equal in any measure, whether u know it or not, next time u quote my 'name' weka hapa na facts, point exactly what I ever said and argue against it with facts, get my posts ziku humu kwa wingi then zipinge with facts point by point, not reasoning kifala fala, eti mchumi, such a scam! Next time dont tag my name in your idiotic reasoning kama hauna la maana. Kuna watu I debate with here fire by fire, nipe nikupe, na sijawai kuwachukia kamwe, they are good debaters, and I like it, wana defend their country ata kwa lenye halipo, navulia kofia watu kama akina ichoboy01 na wenzake kadhaa, tutapigana especially ikija Mwanza vs Mombasa na hakuna siku amenitukana, hapa sioni haja ya mtu kukua too serious, not at all, it is just a political and economic debate. Wewe nimekudharau kabisaaa, ulikua unaonekana muungwana kumbe umeoza ndani leo imelipuka wazi, kipenzi cha watanzania, wacha nikucheke tuππππππππ, sasa hii ndio unafiki kamili.Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa anaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
Hapa hakuna lesson, ni show off debates., kuna threads za kujifunza mambo humu jf, but not this one kaka, ungesema for awareness but not a lesson. Have learnt lots of Kiswahili, thank you. And am aware of the goings in Tz, nothing special, especially on poverty eradication, hakuna both sides (Kenya na Tanzania), hapa ni mijisifa uchwara kutoka Kenya na Tz. Essence of debate is not to agree but to disagree and defend a position, ndio maana inaitwa "battle". Unaeza anzisha uzi ya kujuzana, ndachangia na kuuliza maswali mtashangaa, lakini sio hili. Hii ni battle. Hope unaelewa.Kwahiyo wewe humu hujifunzi kuhusu ku run treni ya umeme, jinsi ya ku manage brt system, jinsi ya kuzalisha umeme mwingi ambao ni affordable, jinsi ya kujenga flyovers za kisasa, jinsi ya kuunda meli kubwa, jinsi ya kuondoa slums, kuwa na jiji safi, jinsi ya kuwa na maji safi na salama, jinsi ya kuondoa njaa hahahahaaa zote nilizotaja hapo kwenu hamna so ni lazima ujifunze kwa walionacho na umejifunza utake usitake![]()
ππ, Hizi ni njia za ndani.? au ni high way.?
Mzee Barabara lazima iwe nyeupe sababu ya environment ni ya bahari kwa hiyo mchanga wa pale lazima uwe mweupe sand we umezoea udongo mwekundu tunakuelewaπUsitufanye wajinga sawa, uswailini my foot afu road imeparara mpaka imekua nyeupe.πππView attachment 1738543
Naona umeamua na kui edit picha ili ujifurahishe ππ poule .uliambiwa hapo ni uswahilini ukabisha ukidai eti hapo ni CBD kwasababu umeona gorofa la vioo vya blue ukidhani ni TPA towerView attachment 1738942
Hii hutataki sioπ΅π΅π΅π΅
Respect bro.Yaani nimefarijika sana, niwe mkweli hamu ya kwenda kule kwenye Sea wall yaani Ocean road kule nilikuwa napenda kwenda lkn huwezi amini hamu imekata nahisi km hakuna mvuto maana nilikuwa nafurahia nikiona mimawe ile ilivyojazwa pale halafu nakumbuka na Appearance ya Jpm kama anafurahia kuona Tz inakuwa na miundombinu konki nilikuwa nafurahi sana ila sasa i need time to whipe out hii loneliness kwa kweli.
Na leo kwa ile speech nimehisi km Jpm yupo around.
Kama ni wimbo na maigizo ya kutatua kero za wananchi kwa kweli basi naupenda sana sanaaa. Waweke tu Repeat.
Huwa nacheka sn ukiwekaga haka kapicha ka turkana









Well putπ πππIdiocy has tagged me π π π π ., peleka makasiriko mbali na mimi. I only deal with facts in debate, I dont tolerate opinions and skewed reasoning, hizo wewe baki nazo hakuna wa kukupiga. And have never said Kenya is any better per se, Sub saharan Africa is sick, it is too obvious, liko wazo kabisa, na hapa jf, especially hii thread ni debate mostly contrasting and comparison analysis, sio vita vya kukufa kupona, utoto niondolee kabisaa am not your equal in any measure, whether u know it or not, next time u quote my 'name' weka hapa na facts, point exactly what I ever said and argue against it with facts, get my posts ziku humu kwa wingi then zipinge with facts point by point, not reasoning kifala fala, eti mchumi, such a scam! Next time dont tag my name in your idiotic reasoning kama hauna la maana. Kuna watu I debate with here fire by fire, nipe nikupe, na sijawai kuwachukia kamwe, they are good debaters, and I like it, wana defend their country ata kwa lenye halipo, navulia kofia watu kama akina ichoboy01 na wenzake kadhaa, tutapigana especially ikija Mwanza vs Mombasa na hakuna siku amenitukana, hapa sioni haja ya mtu kukua too serious, not at all, it is just a political and economic debate. Wewe nimekudharau kabisaaa, ulikua unaonekana muungwana kumbe umeoza ndani leo imelipuka wazi, kipenzi cha watanzania, wacha nikucheke tuππππππππ, sasa hii ndio unafiki kamili.