babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Stupid.Usitufanye wajinga sawa, uswailini my foot afu road imeparara mpaka imekua nyeupe.View attachment 1738543
nothing serious mkuuNitake radhi mkuu![]()



nltaka kukuchangamsha tuuNdio useme wew sasa unaelijua jina hilo jengo 😂😂😂Huu mjengo unaitwajeView attachment 1738551
Nioneshe followers wake wenye akili timamu nifunge account ya jfnothing serious mkuunltaka kukuchangamsha tuu



Sina uhakika ila naweza kushauri awe economist pia na mwenye uzoefu wa kuendesha taasisi za fedha kufanisi iwe TRA, BOT au Benki au Insurance au mifuko ya Pension! Yaani mwenye kujua kitimtim cha uendeshaji, ukusanyaji na kupata faida wakati akihepa hasara! Mtu wa caliber ya CEO wa KQ ni mwiko!!!Geza unaonekana umeshinda betting ya kwanza ya VP.. sasa ebu bashiri nani anaweza pewa iyo wizara ya fedha maana.. ni moja kati ya sensitive ministries
Alikuwa anataka watu wake.kwani alkua anamtaka nani
Kama vile Mh Rais mama Samia anapitaga humu vile!!
![]()
MY TAKE
again asikosee kwenye uteuzi wa Waziri wa Fedha na Mipango achaguliwe Mchumi na mwenye track record!
CC: Tony254
Kwa hiyo mkeka wa yule mwanaharakati mwenye chuki binafsi kule twitter umechanika![]()
Wako wengi hata huyo pia kuna kuna taasisi nyingi zimefanya vizuri! Yaani anapaswa kuweka mtu akiharibu akose kisingizio cha kujitetea kwa nini asifukuzwe! hata kutoka CMSA au kutoka DSE pia!Dr.?Charles Kimei
Followers wake ni kama kondookuna mchezo anafanya.. kila siku anakuja na orodha ya wenye ‘potential’ kuchaguliwa.. siku mtu mmoja wapo akichaguliwa..anaquote hio tweet anasema si niliwaambia mim
hizo orodha za kila kukicha yupo mara shigella, makamba, yule rc simiyu mara sijui nan tena.. lkn wote hao hawajapita



Sizipendi hizi nyumba kwavile hiyo location ina-worthy more than hizo villas nashindwa kuelewa kwann JPM hakuitimua hii kampuni!
Yeye alitabiri vp yule hayawani mana mm nilim unfollow mda cz ananikera sana mimi.Kwa hiyo mkeka wa yule mwanaharakati mwenye chuki binafsi kule twitter umechanika![]()
Nimesikiliza hotuba fupi ya VP mtarajiwa Dr. Philip Mpango amepita mule mule kwa JPM, hakika Tz tuna hazina ya viongozi waaminifu na smart sema tu kuna upepo mbaya ulipita baada ya kuwapa nafasi watu wasiotosha kwenye nafasi, ila JPM akaja kurudisha maana halisi ya uongozi aliyokuwa akiihubiri Mwl Nyerere ambayo ilitafsiriwa vzr na JPM.Naomba sana ile ya Mh kutembea na hela na kusaidia wananchi, na kutatua kero za wenye shida isikome, hela zipo ni kwa ajili ya wananchi km hao. Hawa ni wote ni watu wa Mungu, hivi we unamuonaje mtu anayewajali watoto wako? Lazima utampenda. Hayo mambo ni baraka kwa nchi yetu, natamani hiyo iendelee.
Umeona eehh, tupo pamoja mkuu.It's time to move On hopefully SSH kazipanga kete zake vizuri.![]()