Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilitarajia hili kutoka kwa jirani mnafiki

View attachment 1739225
desperation of the highest order! Imagine a newspaper covering events of a neighboring country as their headlines day in day out as if they don't have news at home to be covered yet the GOK has taken another loan from IMF! That's trolling and desperation from Mumbis!
 
We acha tu kaka huwa sipendi kusikiliza hotuba zake mana roho inaniuma sn nikimfikiria huyu mzee, yn kaniuma sana sana cjui kwnn yn, mpk leo nimekuwa hata mitandao sioni raha kabisa mana kila nikifungua nakuta Magu Magu Magu.

Kaniuma sana Magufuli, napitia kipindi kigumu kweli kweli ila taratibu nmeanza kuzoea lkn daahh tupeane support tu wakuu.
Sasa hivi nikiona hotuba zake tu kwenye TV,nabadilisha channel haraka nisiumie!
 
Huyu jamaa Tony254 ni open minded Sana,Jana tu alikuwa anatukanwa na vigagula flani kutoka huko kwao kwamba anajipendekeza Wakati anasema ukweli,hata 24hrs hazijaisha, media zao zimelenga mlemle kuhusu Tanzania 🇹🇿,Sasa wale machoko watasema na hiyo media ni Tony254!?.
Ni vizuri tutafautiane mitizamo na fikra,Ila palipo ukweli tuuseme pande zote mbili Japo wengi humu "tumekunywa" maji ya bendera ya nchi tunazotoka.
 
Ingekuwa imetokea Tanzania ungeona namna watakavyo shadadia kwenye media zao hadi zile za kikabila kama Kameme Tv, Inooro Tv nk.

Pia kule twitter ingeshaingia trending in Kenya namba 1.
Tatizo Kenya hawana content yeyote Ile wamekaa kazi kufatilia Anga za Tanzania Kwanzia entrainment, lifestyle na politics unajua mwanzoni walikua wanajiona Bora Sana Ila magu aliwanyoosha pamoja na viburi vyao🙄
 
Tatizo Kenya hawana content yeyote Ile wamekaa kazi kufatilia Anga za Tanzania Kwanzia entrainment, lifestyle na politics unajua mwanzoni walikua wanajiona Bora Sana Ila magu aliwanyoosha pamoja na viburi vyao
Ukweli ni kwamba News za Tanzania zina mvuto zaidi Kenya kuliko news za Kenya, wakenya na waafrika wengi kwa sasa wanafuatilia taarifa za Tanzania kuliko nchi yoyote hapa Africa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mlimani City Villas

IMG_6494.jpg

IMG_6495.jpg

IMG_6497.jpg

IMG_6498.jpg

IMG_6499.jpg
 
Hawa jamaa kwakweli ni wasenge sn yn hawana msimamo wanayumbishwa na upepo, huwa najiuliza ilikuwaje wakatuzidi GDP hawa? Ni Watz wa aina gani walikubali kupitwa na mapunga km haya?

naibu rais wao anaipigia chapuo ile vaccine ya urusi.. serikali inaipigia chapuo hio AZ.. yan hawa watu kila kitu ni fursa kwao..
 
Back
Top Bottom