Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mzee tony kaishi nje uko Czech republic kwaiyo roho safi.. hawa wengine visungura pori havijatoka ata county zao wanakuja kumsakama tony mtu wakimataifa nyie wakunya nyie tunawaona

Tony254 alikuwa international student huko Balkan, so he has a different exposure. Siyo kama hawa jamaa wengine hawajawahi hata kuwa na Schengen Visas, lkn wana kelele humu utadhani wametiwa ndimu na pilipili.
 
Kunajamaa kanifurahisha nikakumbuka,
Aliapishwa tar 5,
Raisi wa awamu ya 5,
Amefanya kazi miaka 5 na miezi 5,
Alifariki j 5,
Akazungushwa uwanjani round 5,
Mwili umeagwa kwenye Mikoa mi 5,
Moya ni hii,,
Eti jamaa yule aliepiga pushup mwili ulipokuwa unapita eti alipiga pushup 5,
Bado nachunguza father alipiga pishup 5 au zaidi...
Maiti yake imekanyaga barabara 5 mwanza
 
EAC-Meeting.jpg
 
Miaka 5 ijayo hawa wote wanaomponda Magu watajua umuhimu wake mana watalazimika kutumia falsafa zake kupata kura na hapo ndipo watakapoumia vby cz Watz wa ss ni watu wa ku reason na co ndio mzee..

lakini shukrani za pekee ziwaendee watanzania wengi masikini,waliojitokeza kwa maelfu kumuaga kwa uchungu JPM katika barabara na mitaa mbali mbali.

hii imefanya viongozi wengi kukumbuka wajibu wao na kujihisi wana deni kubwa mno kwa wananchi wale,kama si wengine kujuta baada ya kupata nafasi na kufanya utumbo tu.

JPM ametufaa wakati akiwa hai,na hata akiwa maiti.Mungu amlaze salama apumzike kwa amani shujaa huyu,zaidi mzimu wake ukawasimamie viongozi aliotuachia,wasitende kwa manufaa yao,bali kwa taifa lote tz.
 
Kwa mimi ninayetumia adobe Merge ni kuifanya iwe moja kabisa, Combination nafikiri ni two but same mission au
Merging ni kuunganiasha vipande tofauti na kufanya kitu kimoja, mfano kutengeneza homogeneus solution (majani ya chai, sukari na maji). Wakati combination ni kukutanisha pamoja vipande tofauti tofauti bila ya kuingiliana, yaani kutengeneza heterogeneus solution (mfano mchanga na maji).
 
Magufuli in general alikuwa mtu mzuri. Sitaki kuongea mambo ya uchaguzi. Magufuli amebadilisha Tanzania kabisa na sasa hivi mpo mahali pazuri kushinda zamani.
Siku zingine wacha kusikiliza maneno kwa ushabiki, wacha kusikiliza wapinzani Tanzania, hawana mwelekeo wowote zaidi ya kupiga domo tupu, Tundu Lissu is the most stupid opposition leader in Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Martin Chegere?
hebu leta CV yake naona ni lecturer department of Social Science, je ashawahi kuwa CEO wa any institution? Kumbuka hamna muda wa trial and errors! mbona tusiletewe watu kutoka finance economics and planning ambao wako tayari kwenye game kama BOT, CMSA ama Bankers?

I mean individuals with success stories kama hizi! as they come with experience and network! Wako wengi sana ni muda tu wa kuangalia wepi wanafaa!
 
Nilitarajia hili kutoka kwa jirani mnafiki

View attachment 1739225
Ili blogs zao zipate watembeleaji siku hizi inabidi waandike news za Tanzania.

Ili magazeti yao yanunuliwe inabidi siku hizi waandike news za Tanzania.

Ili social media zao zifuatiliwe inabidi siku hizi waweke news za Tanzania.

Halafu utawaona wakija humu na kile kiramani ambacho ukiwaomba source wanapotea
 
basi kwa mujibu wako, naona yule mkurugenzi kuu wa TRA kijana msabato ivi ndo angeweza hasa baada ya kuweza kuwiden rax base and collection. ila naona bado mchanga kisiasa
Its ok but tunasahau kuongeza uwekezaji na uchumi tunahitaji a bridge between MOF and economic stakeholders(industrialist, investors wakulima and private sectoor) pia na si ukusanyaji tax tu! What do u do with the money u callected to sustain economic growth? We need to have 8% yearly GDP growth! Kuna vitu vinaitwa enabling environment and incentives! Mind u agriculture, tourism and mining r our foreign cash earners! fishing and gas is still raw and untapped!
 
Back
Top Bottom