Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa hakuna lesson, ni show off debates., kuna threads za kujifunza mambo humu jf, but not this one kaka, ungesema for awareness but not a lesson. Have learnt lots of Kiswahili, thank you. And am aware of the goings in Tz, nothing special, especially on poverty eradication, hakuna both sides (Kenya na Tanzania), hapa ni mijisifa uchwara kutoka Kenya na Tz. Essence of debate is not to agree but to disagree and defend a position, ndio maana inaitwa "battle". Unaeza anzisha uzi ya kujuzana, ndachangia na kuuliza maswali mtashangaa, lakini sio hili. Hii ni battle. Hope unaelewa.
Umepanic, tony kuja uone umepanikisha mtu huku
 
Mpotezee huyo kilaza
 
Safi sn, jamaa nina historia yake fupi ni mtu poa sana pia hana makuu na sio mbadhirifu na ni muaminifu mno.

Kuna jamaa yangu aliniambia Mpango vp hafai? Nikamwambia anafaa ila sioni kama atapewa yeye but ndio imekuwa hvyo yn safi kabisa, anajua kuishi vzr na watu ofcz namkubali sana.

Ni mbahili JPM akasome
Si utani nilikuwa nawaza sana hii miradi iliopo kama itaendelea kutelekezwa na kama kutakuwa na miradi mipya.
Kwa uteuzi kongole kwa Mama, naona miradi itaisha na mingine mingi mipya itakuja.
Ikumbukwe JPM naacha foundation so siwezi kushangaa kama hawa watapiga kazi zaidi.
#TukoSalama
#KaziInaendelea

MUNGU ibariki tanzania, naona kama Mungu Ana jambo lake na Tanzania.
 
Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
Ukweli utakuweka huru siku zote wabongo wengi tumekaa Kenya na nchi nyingi tofauti naweza nikasema tuna exposure kuwazidi nyie na ni wakenya wachache mno ambao huwa wanakemea mambo ya kisenge we bwana Toni umestaarabika kuwazidi wengi humu hongera Sana 👏👏👏
 
Hehehehehe hebu screenshot mahali ulipo now tuone, alafu kwanza naomba upige picha simu unayotumia kwnz, mana kwa jinsi ulivyo kama kweli ungekuwa unajiweza wewe ungesumbua sn humu.

I can bet wewe ni fukara if not prove me wrong
Wazee wa g tide😀
 
Si utani nilikuwa nawaza sana hii miradi iliopo kama itaendelea kutelekezwa na kama kutakuwa na miradi mipya.
Kwa uteuzi kongole kwa Mama, naona miradi itaisha na mingine mingi mipya itakuja.
Ikumbukwe JPM naacha foundation so siwezi kushangaa kama hawa watapiga kazi zaidi.
#TukoSalama
#KaziInaendelea

MUNGU ibariki tanzania, naona kama Mungu Ana jambo lake na Tanzania.
Magufuli kuna kitu katuachia cc Watz kitatusaidia sn mbeleni, amefanya viongozi wawe na hamu ya kuacha legacy, amefanya viongozi wajisikie wenye deni kwa wananchi, hii itasaidia kuzalisha wazalendo wengi tatizo ni kwamba kuna mapapa bado hayajakubali kubadilika.
 
Ila wakuu leo mpango aliongea kwa hisia kali mno, aliongea kwa uchache lkn kwa hisia za uzalendo mno mpk ikanikumbusha ile speech ya Magu aliyoitoa mwaka 2015 wkt anazindua bunge, huyu mzee ukimsikiliza vzr unamuona Magu ameketi kuume ndani ya moyo wake.
 
Back
Top Bottom