Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Hakuna jipya🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa mapovu
Hakuna jipya🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa mapovu
Safi sn, jamaa nina historia yake fupi ni mtu poa sana pia hana makuu na sio mbadhirifu na ni muaminifu mno.





NDINDA mgomvi weweKwa Udhamini wa Bwana Mapesa.( My personal life)
View attachment 1738503
INNER ROADS ( hapa ni uswahilini)angalia Direction zote mkeka. ( NSEW)
View attachment 1738504
View attachment 1738505
View attachment 1738506
View attachment 1738507
View attachment 1738508
View attachment 1738509
View attachment 1738510






Kwa hiyo mkeka wa yule mwanaharakati mwenye chuki binafsi kule twitter umechanikaSafi sn, jamaa nina historia yake fupi ni mtu poa sana pia hana makuu na sio mbadhirifu na ni muaminifu mno.
Kuna jamaa yangu aliniambia Mpango vp hafai? Nikamwambia anafaa ila sioni kama atapewa yeye but ndio imekuwa hvyo yn safi kabisa, anajua kuishi vzr na watu ofcz namkubali sana.
Ni mbahili JPM akasome![]()



Kwa hiyo mkeka wa yule mwanaharakati mwenye chuki binafsi kule twitter umechanika![]()


usnambie na wewe unamchukuliaga kigogo serious?Picha ya kwanza 💀💀💀🤣Kwa Udhamini wa Bwana Mapesa.( My personal life)
View attachment 1738503
INNER ROADS ( hapa ni uswahilini)angalia Direction zote mkeka. ( NSEW)
View attachment 1738504
View attachment 1738505
View attachment 1738506
View attachment 1738507
View attachment 1738508
View attachment 1738509
View attachment 1738510
wale mlokua mnamtaka mchumi awe VP mmeshinda dk mpango aukwaa u vice president of URT
Kama vile Mh Rais mama Samia anapitaga humu vile!!
![]()
MY TAKE
again asikosee kwenye uteuzi wa Waziri wa Fedha na Mipango achaguliwe Mchumi na mwenye track record!
CC: Tony254
mhh izi dollar za ndinda mwenyewe zimentoa udenda🤣
Ur right mkuu.. hongera kea kuwa muwaziKazi nzuri sana hii. Tanzania nadhani soon itakuwa na the biggest and most developed BRT system in Africa. Kuna cities kadhaa zina BRT kama akina Lagos na zingine chache lakini nadhani mkimaliza phase 3 tayari mtakuwa wababe ya BRT hapa Africa ukizingatia urefu wa kilomita za BRT zilizojengwa, idadi ya stations za BRT, idadi ya abiria wanaobebwa kila siku na idadi ya mabasi yanayotumika. Endeleeni kujenga miundo mbinu ya BRT maana you are going in the right direction kwenye maswala ya urban public transit systems. Mpo mbele sana.
Usitufanye wajinga sawa, uswailini my foot afu road imeparara mpaka imekua nyeupe.😂😂😂Kwa Udhamini wa Bwana Mapesa.( My personal life)
View attachment 1738503
INNER ROADS ( hapa ni uswahilini)angalia Direction zote mkeka. ( NSEW)
View attachment 1738504
View attachment 1738505
View attachment 1738506
View attachment 1738507
View attachment 1738508
View attachment 1738509
View attachment 1738510
😂😂😂 Huo ni umaskini baba, culture gani unazungumzia .? Unataka kusema hizo baiskeli ziliazishwa na ancestors wa hapo kisumu.?😂😂For the culture💪💪💪
Unakataa kama hapo ni uswahilini.? 😂😂 Haya tuambie hapo ni wapi.?Usitufanye wajinga sawa, uswailini my foot afu road imeparara mpaka imekua nyeupe.😂😂😂View attachment 1738543
magu aliua upinzani tzbara&samia anaenda kuuzika rasmindo chaguo sahihi.. hakika mama anaendeleza alipoishia Magu.. subir sasa wapinzan waanze kusema atakufa mda si mrefu.. au kuorodhesha mambo fake juu yake
Unakataa kama hapo ni uswahilini.? 😂😂 Haya tuambie hapo ni wapi.?
Hapana hii bro Tony254 katoa boko. . Take a look hii ni BRT system ya cape Town pekee . N remember wao wanazo BRT system in more than one City,so their system is the best in Africa,alaf labda sisi ndio tunafuatia, hao wa West Africa ni uchafu hawatuweziUr right mkuu.. hongera kea kuwa muwazi