Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Heb tuone mall kama hii uko kisumu.? 😂😂. Hiyo kisumu ni uchafu tu ukilinganisha na Arusha

Is that a mall or a store? Please have in mind that Kisumu has the second biggest mall in East, Central and Western Africa after Two Rivers Mall in Nairobi. Kisumu has more than 5 proper malls while Arusha can only brag of a store with a size of 500m²
 
Eti biggest and most developed brt, uliskia wapi???? Have you done simple research on other countries before making conclusions. Tatizo unapenda kujipendekeza

In SA fourth tier city like Pretoria has a roburst well running brt system more efficient than udart by thousand miles.
Teargas komora096 Yosef Festo huyu jamaa vipi???
View attachment 1738443
I told you to f*ck off but you are still bringing your stinking *ss here. I will say whatever I want and there's nothing you can do about it.
 
Tony254 umeonaaa? Nilikuambia utaumiza mtu kwa kuongea ukweli
Wacha huyo Coco reborn ajit*mbe. Nimechoka kubembeleza punda kwa mteremko. Kama mbaya mbaya. Hata mimi ni wazimu zaidi nikiamua kuwa wazimu mtatoroka hapa nyote. Anadhani anaweza kunizuia kuongea chochote ninachotaka? Nitasema chochote ninachotaka na huyo m*laya hakuna atakachonifanya.
 
Is that a mall or a store? Please have in mind that Kisumu has the second biggest mall in East, Central and Western Africa after Two Rivers Mall in Nairobi. Kisumu has more than 5 proper malls while Arusha can only brag of a store with a size of 500m²
Bwana Mapesa
Screenshot_20210301-143519.jpg
 
Wacha huyo Coco reborn ajit*mbe. Nimechoka kubembeleza punda kwa mteremko. Kama mbaya mbaya. Hata mimi ni wazimu zaidi nikiamua kuwa wazimu mtatoroka hapa nyote. Anadhani anaweza kunizuia kuongea chochote ninachotaka? Nitasema chochote ninachotaka na huyo m*laya hakuna atakachonifanya.
 
Magufuli in general alikuwa mtu mzuri. Sitaki kuongea mambo ya uchaguzi. Magufuli amebadilisha Tanzania kabisa na sasa hivi mpo mahali pazuri kushinda zamani.
Wewe Tony huwa unasema kweli mara nyingi, lkn hawa Wakenya wenzako humu hawapendi kabisa kusikia ukisema maneno hayo cz wanahisi umewasaliti wkt panapo ukweli ikikulazimu kusema unasema tu.
 
Though acceptable, a fair word would have been to merge since an appropriate word for merger acquisition terminology it could be better if the reporter used a word 'join'!

combine1
See definitions in:
All

Chemistry

Farming





verb

/kəmˈbʌɪn/
  1. 1.
    join or merge to form a single unit or substance.
    "combine the flour with the margarine and salt"

    Similar:
    amalgamate


    merge


    unite


    integrate


    incorporate


    fuse


    blend


    meld


    mingle


    coalesce


    compound


    alloy


    homogenize


    synthesize


    consolidate


    bind


    bond


    join


    marry


    put together


    unify


    pool


    intermingle


    mix


    intermix


    affiliate


    commingle



    Opposite:
    separate


  2. 2.
    unite for a common purpose.
    "groups of teachers combined to tackle a variety of problems"

    Similar:
    cooperate


    collaborate


    join forces


    pool resources

    get together


    come together

    join (together)

    band (together)

    club together

    link (up)


    go into partnership

    unite


    team up

    form an alliance

    form an association

    league


    go into league

    throw in one's lot

    gang up


    Opposite:
    split up

noun

/ˈkɒmbʌɪn/
  1. a group of people or companies acting together for a commercial purpose.
    "one of the world's biggest food and personal products combines"
 
Combination sidhani kama ni lugha ya kitaalam. Najua utachukia lakini huo ndio ukweli. Majina haya ndio ya kitaalam na kila jina lina maana tofauti (Acquisition, merger na joint venture).
The best 007 ama nimedanganya? Nisahihishe kama nimekosea maana hata wewe unaelewa haya mambo.
Swadakta! Hujakosea.
 
Wacha huyo Coco reborn ajit*mbe. Nimechoka kubembeleza punda kwa mteremko. Kama mbaya mbaya. Hata mimi ni wazimu zaidi nikiamua kuwa wazimu mtatoroka hapa nyote. Anadhani anaweza kunizuia kuongea chochote ninachotaka? Nitasema chochote ninachotaka na huyo m*laya hakuna atakachonifanya.
After getting exposed you have turned emotional😂😂😂. i have no personal problem with you so i wont escalate this matter further but just know whenever you make a mistake, ill be there to point it out.
 
Kwahiyo wewe humu hujifunzi kuhusu ku run treni ya umeme, jinsi ya ku manage brt system, jinsi ya kuzalisha umeme mwingi ambao ni affordable, jinsi ya kujenga flyovers za kisasa, jinsi ya kuunda meli kubwa, jinsi ya kuondoa slums, kuwa na jiji safi, jinsi ya kuwa na maji safi na salama, jinsi ya kuondoa njaa hahahahaaa zote nilizotaja hapo kwenu hamna so ni lazima ujifunze kwa walionacho na umejifunza utake usitake
Unajua Yosef Festo na Coco reborn ni hypocrites. Wanajifanya eti Tanzania ni mbovu kabisa na kwamba Kenya imeishinda Tanzania kwa kila kitu. Kwa bahati nzuri ni kwamba mimi ni Mkenya na nimezaliwa Kenya na kuishi hapa Kenya so hawawezi kunidanganya. Ni kweli kuna baadhi ya mambo ambayo Kenya ipo mbele ya Tanzania lakini pia kuna mambo ambayo Tanzania imeishinda Kenya. Mimi sina huo umal*ya wa kuja huku kujipiga kifua eti Kenya imeishinda Tanzania kwa kitu ilhali ukweli ni kwamba Kenya ina mambo mengi mabaya tu. Kenya ina madudu mengi tu ukiyachimba utayapata tu. Wakenya hawa wanaojipiga kifua huku pengine wengi wao ni wahangaikaji tu wa mitaani bila kazi wala masomo. Mimi ni Mkenya nayajua ila huwa nanyamazia tu. Nyinyi Wabongo mnadhani mnaijua Kenya lakini hamuijui vizuri. Mnajua tu asilimia tano ya kinachofanyika huku. Huku JF sote tunakuja kujifunza from each other. Kuna mambo ambayo Kenya tunaweza kujifunza kutoka kwenu na pia kuna mambo ambayo nyie mnaweza kujifunza kutoka kwetu. So kama kuna Wakenya wajinga wanaumwa basi waendelee kuumwa ila mimi sinyamazi na hakuna watakachonifanya. Na hii tabia ya ujinga ya wao kudai kwamba Kenya ni superpower ilhali Kenya ina watu wengi masikini ambao hawana mashamba, hawana chakula ya kutosha, hawana kazi, hawana masomo, hawana tumaini kwa maisha ikome. Waache ujinga. Kenya bado ni third world country. Bado ni nchi inayopambana na umasikini kama nchi zingine. Ujinga ndio huwa sitaki. Walie machozi wakitaka. Nchi ambayo haiwezi kuishi bila madeni? Tuwe serious wakati mwingine. Kenya ni nchi yangu lakini ujinga ndio huwa sitaki. Ukweli uheshimiwe. Mimi naheshimu ukweli kushinda uraia. Wanichukie tu haina shida. They can f*ck themselves. I don't care.
 
Back
Top Bottom