Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JPM jana ametuma waziri wa nishati nadhani jina lake Medard Kalemani aende kumpa pressure mkandarasi wa Julius Nyerere hydropower kukamilisha mradi haraka lakini amemuwachilia tu mkandarasi wa SGR alale usingizi anavyotaka.
Huwezi jua labda GoT ni part of that delay for lot 1! Construction for lot 2 is going pretty well!
 
Yaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizo

hutumii akili kwani hiyo stend haileti mapato serikalini? una ambiwa makusanyo ya mapato yatakuwa rahisi kuliko ilivyokuwa ubungo , nyinyi mmejenga SGR kwani wale masikini wa kibera wameisha? nyinyi mngekuwa care na masikini watu wenu wanamiminika huko dream land mogadishu
 
kwa lugha ya kisasa tunaita ukunguni au uchawa.

huwa sioni sababu ya kiongozi mstaafu mwenye access ya mawasiliano na rais, tena akihitaji kuonana na rais ni simu moja, kuanza kutumia mitandao kufikisha ujumbe.
kuna unafiki mkubwa sana unajificha nyuma ya haya mambo.

hao waliokuwa viongozi,pamoja na waliokuwa waandamizi wao ambao nao wana ndugu na jamaa zao, wanapitia kipindi kigumu sana wakati huu, ndio maana tunashuhudia kuzuka makundi mbali mbali ya wanaharakati maandazi, kuponda na kusiliba kila kitu.

mtu anaponda mpaka anasahau anaharibu.
Thank you.

Umeiweka barabara. Prof Mwandosya alikuja na hadith ya watoto wakimwambia eti "we Mwandosya vua masiki, hakuna korona" akadai, vijana hao wenye miaka 15, 16.

Ndio hadith aliiyoa huko twitter ikishabiriana, na hadith kama ya Onyango Obbo wa gazeti la Kenya, Daily Nation.

Swali, hao wa miaka 15, 16, ni watoto or vijana? Na ni mtoto or kijana yupi kwenye mkoa upi anaweza muita Babu kama yeye kwa jina lake?

Story yake ilikua ya kutunga, ndio maana ilisheheni itilafu lukuki za kiufundi.
 
Unachosema sio mbali na ukweli....Ila kuna jambo mnaoaswa kujua... Kenya ni NCI tajiri hapa Africa mashariki na huwa tuna kufanya ushuru mkubwa sana bila msaada zaidi ya tz,ug,na Rwanda combined..shida yetu ni moja: Ufujaji wa pesa kwetu uko juu zaidi...Kwa hivyo tuliona ni heri Tu kope na tufanye miradi..maana ni rahisi hivi kuzuia uporaji ea mali ya umma. Kwetu bila hivi ni ngumu maana wanao pora pia hawalali..Ni heri tulipe hela kiasi kama interest..kuliko kupoteza mara tatu ya hiyo through corruption....Na mtindo huu utatuinua hadi 1st world hivi karibuni... watch this space my bro
Utetezi wako nauelewa. Kwa kweli hamna option nyingine na kimsingi you are way too up to back down kwenye ufisadi. Ila mkuu umenichekesha hapo kwenye hiyo statement ya mwisho. . Mambo ya Kenya kuwa first world we "ulisikia wapi!"
 
Issue ya SGR lot ya Dar - Moro inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa vyovyote vile huenda mkandarasi keshatumia gharama zaidi ya alizitarajia au anakwepa kuvuka ukomo wa gharama. Acha tuitumie kama learning point. Binafsi sitashangaa kama akipewa lot 3 baada ya kukamilisha lot 1.
Kuna kitu umenifungua hapa, na huu ndio ukweli wenyewe.
 
Yaani mkuu unatufananisha na Ethiopia! Wale na nyinyi hakuna tofauti. Hata wao gvt yao haiwezi kufund miradi kama nyinyi. Tofauti ni sababu tu. Nyinyi ni corruption na wao ni weakness ya serikali. Katika kutafuta mikopo na misaada wamejekuta engulfed na masharti magumu ya mikopo. Huwezi tarajia maendeleo kwenye nchi yenye 50/50 gender kwenye baraza la mawaziri. Lazima tu mtaendeshwa na mabeberu wawe wazungu au mchina.
Hahahahaaaaa mkuu upo vzr sn upstair.
 
Terminal 2 waliujenga wao 1984 na muda wake ulikuwa ni miaka 30. Huu wa sasa (III) nafikiri ni kwa miaka 20 kabla ya kuzidiwa uwezo.
Ahaaa, kumbe! Nilikuwa sijui hilo. Kwa hivyo ni kama vile juzi kati hapo wale wachina waliojenga Tazara walivyoitwa kuja ku-trace construction ilivyofanyika. Good, this one.
 
Sweden wamepiga marufuku uvaaji wa barakoa with health minister Lena Hallengren akisema "the evidence supporting the wearing of face coverings is astonishingly weak"

"The Swedish public health agency has consistently stated that masks are ineffective and that their use could actually increase the spread of Covid-19 "

MAGUFULI is such a visionary leader.

Watu niliotaja humo, wanaratibu mambo mengi mno mtandaoni na Kikwete ndio mfano bora wa uongozi na kiongozi, wakitumia quotes zake nyingi.

Mimi nipo twitter as "@KipepeComrade" na ninapata info from various sources za kuaminika ambazo siwezi taja.

Kikwete anaongea mengi ya ujinga, akidai kwenye maazishi ya Mkapa kuwa, "Uchumi wa kati lilikua wazo la Mkapa" okay vyema, nani lakini, ni nani alituvusha huko?

Alienda mbali na kudai eti, "Mkapa alikua kiongozi bora na hakutaka kusifiwa"

Kwa umri wa Mwandosya, Khagasheki kukesha mitandaoni na kuretweet posts za kijinga za kina Maria Sarungi, Fatuma Karume ni utopolo wa hali ya juu sana. Group hili, na matendo ya Kikwete yanafanana sana.

Wote wapo against na serikali hii, ila kila mtu na style yake ya uchafuzi.

Kikwete's presidency was a waste of time.

Kikwete and his group of thugs led by Lowassa denied Tanzanians one of the greatest presidents we never had: Dr Salim Ahmed Salim. Mmbwa hao, 2005 ndani ya CCM walimchafua sana huyo baba na kumuhusisha na kikundi cha uhalifu huko Zanzibar.

Ujinga ujinga, unafki, ushakunaku, umbea - Kikwete hajaanza jana.

Akome na alegee.
Ulipotaja Dr. Salim umenihuzunisha sana aisee. These thugs! Halafu tulitaka kujichanganya 2015 kuikabidhi nchi kwa 4U movement. Wajinga wangeimalizia nchi. Kings maker wao Rostam now amesanda ameamua ku-play clean.
 
Unachosema sio mbali na ukweli....Ila kuna jambo mnaoaswa kujua... Kenya ni NCI tajiri hapa Africa mashariki na huwa tuna kufanya ushuru mkubwa sana bila msaada zaidi ya tz,ug,na Rwanda combined..shida yetu ni moja: Ufujaji wa pesa kwetu uko juu zaidi...Kwa hivyo tuliona ni heri Tu kope na tufanye miradi..maana ni rahisi hivi kuzuia uporaji ea mali ya umma. Kwetu bila hivi ni ngumu maana wanao pora pia hawalali..Ni heri tulipe hela kiasi kama interest..kuliko kupoteza mara tatu ya hiyo through corruption....Na mtindo huu utatuinua hadi 1st world hivi karibuni... watch this space my bro
Ona hii takataka reasoning style yake
 
Dunia nzima walibaki mdomo wazi tulipo mkosa Dr Salim.

Yaani, tulionekana Mbulula wa kutupa!
 
kwa lugha ya kisasa tunaita ukunguni au uchawa.

huwa sioni sababu ya kiongozi mstaafu mwenye access ya mawasiliano na rais, tena akihitaji kuonana na rais ni simu moja, kuanza kutumia mitandao kufikisha ujumbe.
kuna unafiki mkubwa sana unajificha nyuma ya haya mambo.

hao waliokuwa viongozi,pamoja na waliokuwa waandamizi wao ambao nao wana ndugu na jamaa zao, wanapitia kipindi kigumu sana wakati huu, ndio maana tunashuhudia kuzuka makundi mbali mbali ya wanaharakati maandazi, kuponda na kusiliba kila kitu.

mtu anaponda mpaka anasahau anaharibu.
Walidhani Magu angekuwa upande wao kumbe co, aliwahi kusema Magu soon after taking the office "walidhani ningekuwa upande wao, never".
 
Dah,huyu mturuki ananipa hasira,japo kazi yake ni nzuri.
Hapa tuvumilie tu kwakweli, mana speed yake ni ndogo mno, hapa ni pale ukonga nilichukua picha jana, sidhani kama april tutapanda hizo train
IMG_20210222_161340_631.jpg
IMG_20210222_161335_592.jpg
IMG_20210222_161335_592.jpg
IMG_20210222_161404_580.jpg
 
Unachosema sio mbali na ukweli....Ila kuna jambo mnaoaswa kujua... Kenya ni NCI tajiri hapa Africa mashariki na huwa tuna kufanya ushuru mkubwa sana bila msaada zaidi ya tz,ug,na Rwanda combined..shida yetu ni moja: Ufujaji wa pesa kwetu uko juu zaidi...Kwa hivyo tuliona ni heri Tu kope na tufanye miradi..maana ni rahisi hivi kuzuia uporaji ea mali ya umma. Kwetu bila hivi ni ngumu maana wanao pora pia hawalali..Ni heri tulipe hela kiasi kama interest..kuliko kupoteza mara tatu ya hiyo through corruption....Na mtindo huu utatuinua hadi 1st world hivi karibuni... watch this space my bro
Umeongea point kabisa🙂hata Sisi Tanzania ningemshaauri Rais wetu JPM nae achukue advise kutoka Uhuru muigai Kenyatta hiyo system ya kukopa iko poa manze chali yetu🙂
 
JPM jana ametuma waziri wa nishati nadhani jina lake Medard Kalemani aende kumpa pressure mkandarasi wa Julius Nyerere hydropower kukamilisha mradi haraka lakini amemuwachilia tu mkandarasi wa SGR alale usingizi anavyotaka.
Mbeya City Spurs I amelijibu hili vzr kwmb huenda gharama alizotarajia mturuki ni tofauti na alizokutana nazo, au anahofia gharama zitakuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom