Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
😅😅😅😅😅Aloo simchezo mzee [emoji3][emoji3]
😅😅😅😅😅Aloo simchezo mzee [emoji3][emoji3]
1st wave tuliishinda, hata hii tunaenda kuishinda
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅yeah what agwan kenya ladies....rusting women
say yeah hiphop,,,,hapo tunawasindikiza na ngoma kali la buster rymes touch it remix....
say hiphop [emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii ni picha kali ya mwakaView attachment 1708734
Koenigseng nadhanwakulungwa..... hii gari inaitwaje? View attachment 1708377View attachment 1708378View attachment 1708379View attachment 1708380
WivuUnadhani Nairobi ni mji wa gorofa tatu kama Dar is slum?
Acha kujiabisha na vitu vya kijingaHapa km ni tz pangeliitwa city na wakati kenya ni mtaa wa watu wa kawaidaView attachment 1708664
Tanzania uwa atufuatiliagi habari za kunyaland,ila hao wenzetu kwenye news zao,youtuber wao,macomedian wao,tv and redio zao huwezi kukosa habari za Tanzania,na hata kwenye matatu 95% ya nyimbo zinazopigwa mle ni za Tanzania,ukija kwenye chakula 60% wanategemea kutoka TanzaniaKuna video niliona mahali uhuru anazomewa na Nairobi slums dwellers kama clown, yaani kama ingekua ndio Magufuli kazomewa vile media zote za Kenya zingetangaza mwezi mzima breaking news 😅😅😅
Ila tanzania sasa, hata thread humu sijaiona
Tulia mzee baba acha hasira
Umeamdika kw kisengerenyuma[emoji1787][emoji1787]Tanzania uwa atufuatiliagi habari za kunyaland,ila hao wenzetu kwenye news zao,youtuber wao,macomedian wao,tv and redio zao huwezi kukosa habari za Tanzania,na hata kwenye matatu 95% ya nyimbo zinazopigwa mle ni za Tanzania,ukija kwenye chakula 60% wanategemea kutoka Tanzania
Katafute ulete lkn kwa sasa itabidi umemeza hyo kwanza
Kw sasa nikikwambia nipo nairobi utaamini[emoji1787][emoji1787]Weiye mambo ya Nairobi Achana nayo huna habari na unacho kizungumzia[emoji846] mara ya mwisho umefika Nairobi lini?[emoji846]
Kwahiyo kodi ni kizungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
I asked your fellows countrymen wapi majority wenu wanaishi wakasepa, zamu ni yako sasa
Kwahiyo ujengewe kitu bure we mtoto wa mjomba? Nyie waafrika wa zamani mmliongopewa sn.Emu nijuze mzee, partnership ni mkopo sio[emoji1787][emoji1787]
Wewe ni fala sana. Those are construction bulldozers that were initially working on the Tanzanian side and now is being transferred to Uganda to do another job. That's thing didn't pass through Dar is slum port. You make too much noise wakati Mombasa port alone imeshinda port ya Dar 3 times.
Umeamdika kw kisengerenyuma[emoji1787][emoji1787]
Hapo najua unazijui county zetu karibia zote wakati hku mimi ukinambia nikutajie mikoa yenu mitano tu nutaanza kusuasua..
Ushagundua kuwa huyo jamaa amefurahi just because he is going to Nairobi?[emoji23][emoji23]Kw sasa nikikwambia nipo nairobi utaamini[emoji1787][emoji1787]
Halafu mbona wewe ukiskia jiwe limefikia kw linta chato huaga unanengua sana
Wewe unaishi pipelineAccording to research nimegundua Dar ni mji zero kabisa katika real estate, nimeulizia malazy humu wanaishi wapi wote wakasepa. Kando na vigorofa vitatu, kariakoo kwa warabu na wahindi, ubungo ya msaada hakuna tofauti na Mogadishu.