Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,918
- 103,788
Yaa seems like Ofisi za Faculty of Humanities pale kwenye entrance kuu ya utawala,sasa lile jengo walifanyie renovation limechoka sana afu halina hata lifthizo ni ofisi pemben ya utawala
consistency itoke wapi kwenye viwanda vya public corporations labda wapige ban bidhaa za mchinani mwendo wa viwanda tu..
hiv viwanda vikiwa na consistency ya uzalishaji wa bidhaa au huduma na kuendelea kukua, baadae Tanzania itakuwa ni level nyingine View attachment 1694082
Location naona kibera slum, slum schools, slum foundationYani ma slums yote haya mtu anauliza popn, hapa nakataa co 2.5m ni 6m slum dwellersView attachment 1695088View attachment 1695089View attachment 1695091View attachment 1695092View attachment 1695093View attachment 1695094View attachment 1695095



Bwahahah





yanga waandike #tz unforgettable au team zote za ligikuuHii kwnn wasingeandika Tanzania unforgettable? Mana si itaonekana tumeiba slogan ya Rwanda?
Mzimu huyo


Evidence tayari umeshaleta ile yako yako ya kitoka chato data centerUmepanic badala ya ulete evidence![]()


Hata bei yake ilikuwa ni zaidi ya noma aiseeHahaha. Waligongwa na Wachina vibaya sana hawa Waganda. Wakiona ya Kenya ikielea kwenye city bila ya kupita juu ya misitu watalia na kusaga meno na kuwaambia Wachina wawarudishie pesa yao.
Serikali ya Magu imefanya wote tuwe machinga maana hawataki vibrant private sector,saizi ni mwendo wa machinga na mama/baba ntilie unalipa 20,000 unatafuta vijana wanauza,nani anataka kukimbizana na TRAJana niliingia Dodoma nikasema ngoja ninyooshe kidogo miguu kutembea mjini (kutoka hotel niliyofikia) yaani kuna machinga kinoma.
Maeneo ya makao makuu ya ccm kuna machinga wa kutosha hadi ile barabara iliyoko karibu na Nmb Dodoma branch wameiziba yote.
Nikatokea maeneo ya Square pale asee kuna machinga kinoma hadi wamepewa barabara yote two lanes na sehemu za watembea kwa miguu yote wanamiliki machinga 😂😂😂 mtaa mzima wanamikiki machinga.
Nikatokea tena kule karibu na soko asee machinga wametawala barabara hadi sehemu za watembea kwa miguu.
Nikapita tena usiku huwezi amini barabara zinavyo kuwa nzuri machinga wakiwa hawapo.
Au co mkuuyanga waandike #tz unforgettable au team zote za ligikuu




Ujenzi holela unasababisha miji yetu ionekene vituko,hakuna public garden na miundombinu bado ni very underdeveloped sanaNje ya Dar mna mji upi mtaita city?., Na usiniambie Mwanza, kazi yake tulimaliza., Tanzania ni msitu bado., those so called urban centres ni kichekesho., outside Dar hakuna city.,
Na kusema the most developed in East Africa, sisi atusemi watu wa nje wenyewe wanashuhudia., If you Google the most developed city in East Africa utapata jibu tu., na sio kwa wakenya., wewe meza wembe.,
Entebe expresswayHata bei yake ilikuwa ni zaidi ya noma aisee



😂😂😂😂
yanga waandike #tz unforgettable au team zote za ligikuu
Entebe expressway
51km
Price $476m
Nairobi expressway
27km
Price $0.6b
Entebe expressway ni zaidi ya noma aisee![]()