Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Top 12 cleanest cities in Africa.

1. Kigali- Rwanda[emoji1206]
2. Port Louis- Mauritius[emoji1164]
3. Cape town- South Africa[emoji1221]
4. Tunis -Tunisia[emoji1249]
5. Windhoek - Namibia[emoji1176]
6. Dar es Salaam -Tanzania[emoji1241]
7. Gaborone- Botswana[emoji1052]
8. Algiers- Algeria[emoji1026]
9. Nairobi - Kenya[emoji1139]
10. Libreville- Gabon[emoji1107]
11. Kumasi- Ghana[emoji1110]
12. Asmara- Eritrea[emoji1096]
No. 9 is the liar, here is the true list [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20210131-111804.jpg
 
<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="en" dir="ltr">Two Kenyan inventors, David Gathu and Moses Kinyua have created a robotic arm prosthetic that is controlled by brain signals 🦾 <a href="https://t.co/0Wz0jAi4pO">pic.twitter.com/0Wz0jAi4pO</a></p>&mdash; Al Jazeera English (@AJEnglish) <a href="">January 30, 2021</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
Hawa watu wamesahau kuwa Magu alikuja kuokoa hii nchi ikiwa inaenda pabaya na moja wapo ya njia ya kuiokoa ni kupunguza gharama itakayosababisha watu tupitie kipindi cha kuweka bata pembeni kwa maslah ya baadae na mara nyingi tumekua tukifananisha hili swala na jinsi wachina walivyoteseka kipindi fulani. Sasa wengine wanataka wao wale bata huku wengine wakijibana. Watu tungepewa mihela hovyo kama kipindi cha Kikwete tusingeweza kufanya hizi projects tunazokua nazo proud
Mfano rahisi ni pale baba nyumbani anapoamua kujenga nyumba watoto hamuwezi kuishi maisha yale yale ya raha km zamani, lazima kuwe ugumu fulani wa maisha, lkn watu wanashangaza eti wanataka nyumba nzuri na maisha yaendelee kuwa matamu.

Chagua moja, baba awajengee nyumba nzuri lkn msile vzr au muendelee kula vizuri lkn msijenge nyumba, hakuna kupata vyote cz pesa hatengenezi baba yako.
 
Hawa watu wamesahau kuwa Magu alikuja kuokoa hii nchi ikiwa inaenda pabaya na moja wapo ya njia ya kuiokoa ni kupunguza gharama itakayosababisha watu tupitie kipindi cha kuweka bata pembeni kwa maslah ya baadae na mara nyingi tumekua tukifananisha hili swala na jinsi wachina walivyoteseka kipindi fulani. Sasa wengine wanataka wao wale bata huku wengine wakijibana. Watu tungepewa mihela hovyo kama kipindi cha Kikwete tusingeweza kufanya hizi projects tunazokua nazo proud
Salute [emoji2969]
 
Amkeni amkeni kumekuchaaa ukuu, the most poorest lower middle income country [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1689112View attachment 1689113

Tui-save hii siraha itatusaidia vitani
 
. Flyover ya aina yake kuwahi kutokea EA.kudos Mr President JPM
Hii sasa ndo imechukua vzr sn hyo interchange, rai yng ni kwamba huo uchafu wa hivyo vibanda hapo pembeni utolewe haraka iwezekanavyo na km hakuna wa kuinua towers basi bora pawe peupe tu cz hvyo vibanda vinashusha thamani ya the one and only 3 level interchange in East and Central Africa.
 
Tunaongea kuhusu capacity ya Lamu port. Hatuongei kuhusu mizigo iliyohandle.
mbona kwa Dar port umeongelea mizigo iliyokuwa handled tena kwa mwaka wa 2019! wapi mizigo iliyokuwa handled na Lamu port? U r a big fool! JPM anawanyosha vizuri na tena inavyokaa 2022 lazma mchapane hii maneno ya BBI na Bromance ya Uhuru kwa Raila dhidi ya Ruto haitawaacha salama!

Ninawaaminia Wakalenjin lazma wawanyoroshe vizuri kuna sababu kwanini wapo kwenye polisi na jeshi in majority! They r fearless buddies, wakisema mtoke Rift Valley huwa mnahama bila kushurutishwa! na ninamuaminia JPM hapendi kuingilia ugomvi wa watu na By 2022 JPM atakuwa busy ku-launch kipande kilichobaki Makutupora-Isaka in one lot!
 
Anyway, nashukuru kwamba umeelewa kwamba Lamu port will be handling 1.2 million teus na sio 1.2 million tonnes. Siku nyingine usiwahi tena kuilinganisha Mtwara port na Lamu port. Lamu port ina capacity ya kuhandle more cargo than all your ports combined. Lamu port itakuwa na capacity ya kuhandle 28.8 million tonnes while all Tanzania's ports in 2019 handled slightly less than 17 million tonnes of cargo.

Lamu port pekee inafunika port zenu zote kwa capacity. Halafu Lamu port haijajengwa kwa miaka kumi. Construction ilianza December 2016. Wewe unatumia ile kigezo cha rais Kibaki kuzindua Lapsset in 2012 kama kigezo cha start date ya construction. 2012 kilichozinduliwa ni Lapsset corridor masterplan. Lakini ujenzi wa hizi berths 3 zilianza in December 2016. Soma hapa

Last time I checked Lamu port was not even U/C.

Last time I checked Lamu port was a big white elephant [emoji208].
 
Wewe wakati mwingine unapaswa kutumia kichwa kufikiri na sio kutumia tu makalio, Magu anaongelea maslahi ya taifa kwmb nchi inasomesha daktari inampa training mpk anakuwa daktari bingwa ili asaidie watu maskini wasio na uwezo wa kumudu gharama za private hospitals ambazo ni profit oriented.

Kwn mfumo wa utoaji wa mikopo kw wanavyuo dunia wanafanya tanzania pekeake[emoji1787][emoji1787]
Alfu acha kumuongezea magu maneno ambayo hayajasema, alafu km hutaki jamaa asiende hko kw private basi wapeni nyongeza muone km watakimbia..
 
Wewe wakati mwingine unapaswa kutumia kichwa kufikiri na sio kutumia tu makalio, Magu anaongelea maslahi ya taifa kwmb nchi inasomesha daktari inampa training mpk anakuwa daktari bingwa ili asaidie watu maskini wasio na uwezo wa kumudu gharama za private hospitals ambazo ni profit oriented.

Hzo private hospitals zinasubiri mtu akwive ndo zikamchukue yn hazimchukui akiwa bado mbichi zinamchukuwa akiwa ni expert zen zinamuongeza pesa kdg ili akawafanyie kazi yao ya kutengeneza profit na sio ku serve the public.

Hivi ushawahi jiuliza km ma doctor bingwa wote wa serikali wakiweka mbele maslahi yao kutabaki nani govt hospitals? Na je wananchi maskini ambao ndiyo wengi watahudumiwa na nani? Na je km ni hivyo je serikali nayo ikisema inaangalia maslahi kwmb mwenye pesa ndiyo asome je hao madaktari ambao leo hii wanaangalia maslahi binafsi je wangesoma?

Wakati mwingine sio kila kitu ni cha kushabikia tu pima uzito wa hoja km unaiweza changia fairly na sio kuropoka tu mradi uonekane na ww umo.

Hapo Magu alikuwa sahihi kabisa japo kwa jicho la kawaida unaweza sema hajali maslahi ya watumishi.
Alafu we jomba kumbe kichwani mweupe sana, huyo jamaa kapewa mkopo wala hajasomeshwa bure..

Na hilo la wanavyuo kupewa mikopo ni jukumu la serekali wala hakuna aliyewalazimisha manake hamkawi kuwataja mabeberu.

Faida za private hospitals katika nchi unazijua au unabwabwaja tu we mwehu
 
Wewe ni mpumbavu na Wakenya wengi wapo dizain yako ni wajinga sn na ndiyo maana mnapigwa kila uchwao kwa kuendekeza huu usenge wa ujuaji, mwenzako Tony254 ameelewa na humwoni kuchangia cz anajua Magu kamaanisha nn ila wewe kichwa maji unaeendekeza ubishani ktk kila hoja bado hujaelewa lengo la Rais.
Mwenzako chongchung na walker walinielewa sana na ndio manake hatukubishana..
Lkn vile mkurupukaji keshawasili lazima lianze na mihemko bila ya kufikiria..
 
Mzee mzima anarudi Dodoma ku-launch mega projects!

CC: Tony254 expect ring road, Msalato International Airport, Dodoma state of the art stadium, Uhuru hospital, Farkwa dam, Zuzu power distribution station, Ikulu to be on the agenda pia uwekaji jiwe la wa msingi majengo ya mji wa serikali.

Tony254 umeona hii speed tunachomoka nayo? Yn ukimuona Magu karudi Chato juwa kwamba akitoka huko anaenda kuistua EA, yn jamaa hajawahi ku stop uzinduzi since he came into power.
 
Alafu we jomba kumbe kichwani mweupe sana, huyo jamaa kapewa mkopo wala hajasomeshwa bure..

Na hilo la wanavyuo kupewa mikopo ni jukumu la serekali wala hakuna aliyewalazimisha manake hamkawi kuwataja mabeberu.

Faida za private hospitals katika nchi unazijua au unabwabwaja tu we mwehu
Kwahiyo unavyodhani kuna mtu asiyependa maslahi binafsi? Kama madaktari wote wakishikilia maslahi binafsi nani atabaki Govt? Hako kamsemo kako ka "wanapewa mkopo na hawasomeshwi bure" ni kamsemo ka kibinafsi na kanako operate only in Kenya sio kwetu nchi ya ujamaa na kujitegemea, unadhani mkopo ni lazima upate? Na km ingekuwa lazima kwa nn tunaomba mkopo? Wakati mwingine kukujibu wewe ni trash kabisa wacha niachane na wewe.

Ongea upuuzi wako wote na sitakujibu ktk hili mana napoteza energy plus time kujibu punguani.
 
Hii sasa ndo imechukua vzr sn hyo interchange, rai yng ni kwamba huo uchafu wa hivyo vibanda hapo pembeni utolewe haraka iwezekanavyo na km hakuna wa kuinua towers basi bora pawe peupe tu cz hvyo vibanda vinashusha thamani ya the one and only 3 level interchange in East and Central Africa.
Wait for expressway to complete,,hii ntaisahau kabisa😁😁
 
Back
Top Bottom