ulikua wapi jana., aerial view ya Dar 90% ushago and shity residentials., low life poverty kote kote, with latrines(vyoo vya shimo) sehemu karibu yote kwa city, na mnajisifu eti mko na maji😂😂., unajua ukweli unataka nini tena?😂😂😂 pengine mjenge Dodoma kimuindo mbinu, na watu wasikimbie kujazana huko na wako idle kama mlivyo jazana Dar, pengine Dodoma itawakomboa kutoka kwa aibu., Dar is going Lagos way na hapo hamtatoka hivi karibuni., kwanza makazi hayatabadilika karne hii.,😂😂😂😂
am moving will be back...,