Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good afternoon to all the witches and sorcerers in this group.

View attachment 1695283
No wonder wanasiasa wa WHO wamesema eti tufuate taratibu za kisayansi kupambana na corona!

Eti kumbe babu wa Loliondo alipochemsha ile mizizi akapata ile dawa kali inayotibu magonjwa nyemelezi haikuwa sayansi!

Maajabu haya. Darasani kwenye sayansi si tulifundishwa kuwa kuna mimea ni tiba! Kwa hiyo nikifanya extraction kwa kuchemsha nyumbani ni uchawi ila wachina wakichemshia kiwandani ni sayansi! Hii kali.

Iko hivi hiyo dawa ya kikombe cha babu iko miaka nenda rudi na ndiyo sababu wamasai wakashangaa namna tulivyoishobokea kipindi ile. Wakashangaa eti tunasema dawa ya Ukimwi imepatikana wakati wao wanaitumia tangu enzi.

Sayansi!
 
Kibera kila mtu anajua iko Nairobi. And it's the only remaining thing from Nairobi that you can compare with that glorified fishing village 😂
Tunatumia kibera kama muwakilishi wa wenzake ambao wako wengi sana kama vile kariadudu..
Unakujua kariadudu wewe???..yaani kariadudu ni slum mbaya kibera ikasome
 
IMG-20210205-WA0004.jpg
 
Iyo Nairobi expressway iko elevated km kadhaa entebe vp
Halafu Nairobi expressway ni pana. Kwenye section zingine ni laini nne upande mmoja na laini nne upande mwingine, hasa karibu na Jomo Kenyatta airport. Ya Uganda ni dual carriageway mwanzo hadi mwisho. Isitoshe ipo elevated around nusu ya hio 27 km, yaani around 13 km. Pia ina interchanges kumi. Interchanges nyingi zitakuwa two level lakini kuna mahali patakuwa na three level ukizingatia kwamba tayari mahali hapo kuna two level interchange. Halafu kutakuwa na toll stations kadhaa ambazo lazima zijengwe. Ukizingatia mambo hayo yote basi hio price ya Nairobi ni fair price.

cc Simon The best 007
 
Uganda has chosen Tanga port as a conduit for all of the equipments for EACOP !
Tony254

Kwenye video amesema kwamba "Uganda itatia saini ya mwisho mwezi wa Juni." Duh! Huu mradi unasongezwa mbele kila wakati. Hamna bahati. Miaka zinazidi kusonga yet construction has not yet started.
 
Kwenye video amesema kwamba "Uganda itatia saini ya mwisho mwezi wa Juni." Duh! Huu mradi unasongezwa mbele kila wakati. Hamna bahati. Miaka zinazidi kusonga yet construction has not yet started.
Ni kawaida mega projects kuchukua muda unless kuna upigaji kama mradi wa SGR Kenya! Mwezi March FID inasainishwa!
 
Back
Top Bottom