Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Ya Uganda iko sawa, it is from Kampala to Entebe airport, passing over a swampy area looking bushy, only that, hakuna msitu, stop hating[emoji28][emoji28], hizo ni tabia za kitanzania, wivu na kinyongo[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787] all the way kuna developments..,Hahaha. Waligongwa na Wachina vibaya sana hawa Waganda. Wakiona ya Kenya ikielea kwenye city bila ya kupita juu ya misitu watalia na kusaga meno na kuwaambia Wachina wawarudishie pesa yao.