Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
Aafu kusengenya huwa sifanyi upuzi wa hivo jirani yangu🙂
 
Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
Halafu mbona hizo NGOs zinakupa wewe kazi. Kwani hakuna Wakenya wanaoweza kufanya kazi hio? Siulizi kwa ubaya, I am just curious my friend.
 
Haina Noma bro ruksa kuuliza,kwa sahivi nipo kitengo cha wakimbizi hususan wakutoka,burundi na Congo ambao issue zao ni sensitive na wameomba niwe kama case worker wao 🙂nimekua nao tangu wakiwa kambi ya wakimbizi eneo flani tanzania 🙂na NGO ambayo nlianza kama volunteer mpaka kunipa contract it's international na hawana boundaries wala borders ukiwa mchapa kazi unafaidi tu🙂tupo team ya watu kadhaa kutoka chad, Niger, Sudan,Mali na Benin kila mtu na task yake🙂
 
Asante. Wewe endelea kuchapa kazi kwenye fani yako bro. Kila la kheri.
 
Nakuja kwa ajili ya kikazi bro siji kukaa wala kushangaa and I don't hate Nairobi nachukia miundo mbinu tu🙂
Mbona usifanye kazi bongo kwenu? Alafu wee mwenyewe umetoka Dar alafu useme Nairobi ina miundo mbinu mbovu?
 
Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
You speak as if you come from Geneva. 🤣 🤣
 
Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?[emoji846]kuhusu wewe kuni host sina mpango huo[emoji846]nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote [emoji846]
Heheheheee na usijaribu kukubali mualiko wa mkenya yyte wa humu mana wana roho mby sn wakikujua ujue umekwisha bro.
 
Asante. Wewe endelea kuchapa kazi kwenye fani yako bro. Kila la kheri.
Ahsante jirani hapa tunapeana chalenge tu Ila nje kila mtu ana taaluma yake maalum najua humu ndani kuna professors, architects, doctors,developers, teachers, businessmen, phycologists, accountants drivers, engineers,na wanajasiriamali wote etc etc
 
Mbona usifanye kazi bongo kwenu? Alafu wee mwenyewe umetoka Dar alafu useme Nairobi ina miundo mbinu mbovu?
Kazi Popote mkuu mbona wachina wasifanye kazi kwao waje afrika?🙂alafu siwezi nikajipangia Niko flexible popote pale napiga kazi,mfano nimekua west afrika specifically Togo nimefika Libya yote kwa ajili ya kazi🙂
 
Heheheheee na usijaribu kukubali mualiko wa mkenya yyte wa humu mana wana roho mby sn wakikujua ujue umekwisha bro.
Roho mbaya ya nini? Kwani ninaweza kumfanya nini rafiki yangu Shebby01? Kwani naweza kumroga?

Mimi mwenyewe nikipata muda hobby yangu huwa ni kutravel. Napenda kutembea na kuzunguka kote kote na nimehostiwa na strangers wengi sana na najua umuhimu wa ukarimu. Kwanza waafrika ni watu wakarimu sana.
 
Roho mbaya ya nini? Kwani ninaweza kumfanya nini rafiki yangu Shebby01? Kwani naweza kumroga?

Mimi mwenyewe napenda kutembea na kuzunguka kote kote na nimehostiwa na strangers wengi sana na najua umuhimu wa ukarimu. Kwanza waafrika ni watu wakarimu sana.
Wewe tony co mkenya Og nshawahi kukuambia, ila wakenya wenzako nadhani unawajuwa roho zao.
 
Kazi Popote mkuu mbona wachina wasifanye kazi kwao waje afrika?🙂alafu siwezi nikajipangia Niko flexible popote pale napiga kazi,mfano nimekua west afrika specifically Togo nimefika Libya yote kwa ajili ya kazi🙂
Libya ogopa mzee. Waafrika wanafanywa kuwa slaves huko.
 
ni mwendo wa viwanda tu..
hiv viwanda vikiwa na consistency ya uzalishaji wa bidhaa au huduma na kuendelea kukua, baadae Tanzania itakuwa ni level nyingine
IMG_1612430169.673466.jpg
 
Back
Top Bottom