Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Aaah kumbe 🙂tulia hapo hapo tunawapigia na Ngoma soon ili mdance vizuri 🙂Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
Aaah kumbe 🙂tulia hapo hapo tunawapigia na Ngoma soon ili mdance vizuri 🙂Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
Wewe ungejikita kwenye taaluma yako ya Uhasibu. Ukija kwenye siasa titakupiga gumi za uso ukimbia JF.Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
Tanzania inaweza kuwa first biggest wine producer in Africa
Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
Mbona wapo tayari au wanaongeza capacity?Oman🤝 Tanzania
![]()
AACO | Oman Air to launch Tanzania services on 4 February 2021
Oman Air, via its official Facebook, Instagram, LinkedIn and Twitter accounts, confirmed that it plans to commence twice weekly Muscat-Dar Es Salaam and Muscat-Zanzibar service on 4 February 2021 using Boeing 787 aircraft. Source: CAPAwww.aaco.org
Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
Tanzania ni wa pili Africa sio kazi ndogoSA wako mbali..
Inapendeza kwakwelJana pale Terminal 3.View attachment 1695071