Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hutaki au, pinga kwa hoja basi tuanze, unamuita tony kwani haoni unadhani? Mwite aje ale bakora zake [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio manake policcm wanawaita wachumba sio kw ulemavu wa akili kw kiasi hicho jamani[emoji1787][emoji1787]

Emu rudia tena, wageni nairobi ki wivu wivu ni wangapi vile[emoji1787][emoji1787]
Utakufa kw presha miss BUZA
 
Jana pale Terminal 3.
IMG_20210205_120845_012.JPG
 
Tunataka mtuthibitishie kwamba 2.5m waliobaki ambao co slum dwellers ni Wakenya.
Kabla uthibitishiwe na wewe tunataka ututhibitishie 2.25m slum dwellers wengine wanaishi wapi, manake tayari kibera ni 250k[emoji1787][emoji1787]

Jamaa nishamtoa tara haki ya nani
 
Ndio uwalete hao 2.25m wanaishi wapi[emoji1787][emoji1787]
Yani kw hilo swali nishakukimbiza, ukirudi basi labda uje kunengua
Slum dwellers in Nairobi ni 2.5m but jiji lina wakazi 5m so 2.5m ndiyo wanaishi kwenye apartments, kati ya hao kuna foreigners km 2m so the remaining ambao ndiyo natives wanaoishi kwenye apartments ni 0.5m.

Unauliza 2.25m wanaishi wapi kwn hujui kwamba Nairobi ni slums hub?[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
JamiiForums1949804486.jpg
 
Slum dwellers in Nairobi ni 2.5m but jiji lina wakazi 5m so 2.5m ndiyo wanaishi kwenye apartments, kati ya hao kuna foreigners km 2m so the remaining ambao ndiyo natives wanaoishi kwenye apartments ni 0.5m.

Unauliza 2.25m wanaishi wapi kwn hujui kwamba Nairobi ni slums hub?[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1695073
Lete list ya slums na idadi ya watu tufikishe hyo 2.25m[emoji1787][emoji1787]
Nengua mzee baba
 
Slum dwellers in Nairobi ni 2.5m but jiji lina wakazi 5m so 2.5m ndiyo wanaishi kwenye apartments, kati ya hao kuna foreigners km 2m so the remaining ambao ndiyo natives wanaoishi kwenye apartments ni 0.5m.

Unauliza 2.25m wanaishi wapi kwn hujui kwamba Nairobi ni slums hub?[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1695073
Mbona umewasahau wale wanaolala kwenye zile fly over zao ?
 
Population iko wapi, au ile link yako hawakukupa list ya hzo slums na population kabisa[emoji1787][emoji1787]
Uliisahau labda nenda ka google vizuri huenda utapata hyo idadi ya hao 2.25 tuje tuchanganye na 250k ya kibera ndio iwe 2.5m
Haya ma slums yote haya na bado unaulizia popn, tena hapa co 2.5m ni zaidi ya hyo mana nyumba moja watu 10[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums1949804486.jpg
 
Link yako nzuri sana[emoji1787][emoji1787]
Sasa ziko wapi hzo slums nyngine tujumuishe na kibera zifikie 2.5m km inavyosema..
Ukitaka nenda katumie google ya chato huenda ukapata
Komora are you serious?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Komora kakimbia maskini ya Mungu, baada ya kuujua ukweli kakimbia [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji2781][emoji3545]
 
Back
Top Bottom