Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watuliwe na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Moja wapo ya Siri zetu ni;,hatuna Tamaa,tunajitosheleza,wastaarabu afrika nzima,tunapendana,tunasaidiana,tunahurumiana,tunamuogopa mungu,wachapa kazi,wanyenyekevu.
Alafu issue ya uoga hatuna sema hatupendi ugomvi na mtu🙂maana tanzania ina mojawapo ya makabila jeuri afrika lakin huwez ukaskia hata siku moja eti wamewanchinjana
Tanzania ukileta ujuaji wako serikali itakushughulikia na pia kingine tanzania community policing iko vizuri mgeni huwez uka tupangia maisha yetu respect kwa kila mtu peace🙂
 
Hahahaha hilo ndio tatizo lenu Tony254
Hivi expressway inayopitia kwenye misitu na kwenye bushes na emptiness and nothingness pia utaiita expressway kweli? Hio si ni barabara tu ya Kawaida?
Tazamqa hii upuuzi. Waganda waligongwa na Wachina.

images.jpeg
images (1).jpeg
images (2).jpeg
images (3).jpeg

Expressway ya Kenya inapita kwenye capital city na kumejengwa kote kote. Hatujajenga expressway kwenye misitu sisi.Tunataka kuimprove image, looks and appearance of our city ili ifanane kama Houston au Los Angeles na barabara za juu kwa juu.
Tazama barabara za Houston, Texas
images (4).jpeg
images (5).jpeg

Na za California hizi hapa
images (6).jpeg
images (7).jpeg
 
Hivi expressway inayopitia kwenye misitu na kwenye bushes na emptiness and nothingness pia utaiita expressway kweli? Hio si ni barabara tu ya Kawaida?
Tazamqa hii upuuzi. Waganda waligongwa na Wachina.

View attachment 1694214View attachment 1694215View attachment 1694216View attachment 1694217

Expressway ya Kenya inapita kwenye capital city na kumejengwa kote kote. Hatujajenga expressway kwenye misitu sisi.Tunataka kuimprove image, looks and appearance of our city ili ifanane kama Houston au Los Angeles na barabara za juu kwa juu.
Tazama barabara za Houston, Texas
View attachment 1694218View attachment 1694219

Na za California hizi hapa
View attachment 1694220View attachment 1694221
Swali linabaki pala pale ni expresway au sio expressway 😄😄😄😄
 
Hahahahaaa duuhh expressway inapita msituni, aisee kweli Africa ni noma
 
Tuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.
Huyu wa sasa inaonekana anawapenda sana huoni amewapa hadi vitambulisho
Hapo ndipo tunapokorofishana na Magu yn machinga wanamiliki mpk barabara, ukienda pale tandika unakuta ile road ndo wameichukua wao gari hakuna kupita, katikati ya barabara wao wanauza nguo, mpk kariakoo kote machinga wanafanya biashara barabarani, ss cjui Markets wanajenga za nn.
 
Tuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.
Huyu wa sasa inaonekana anawapenda sana huoni amewapa hadi vitambulisho
Kama pale tazara flyover na viaduct ya sgr pembeni,ukikaa kwa juu yaani seoul hii hapa ila ukiangalia kwa chini hivi kuanzia kwenye geti la bakhresa ni vibanda vya mbao tu yaani lazima unyong'onyee tu hata kama ulitaka kupiga photo kali
 
Moja wapo ya Siri zetu ni;,hatuna Tamaa,tunajitosheleza,wastaarabu afrika nzima,tunapendana,tunasaidiana,tunahurumiana,tunamuogopa mungu,wachapa kazi,wanyenyekevu.
Alafu issue ya uoga hatuna sema hatupendi ugomvi na mtu🙂maana tanzania ina mojawapo ya makabila jeuri afrika lakin huwez ukaskia hata siku moja eti wamewanchinjana
Tanzania ukileta ujuaji wako serikali itakushughulikia na pia kingine tanzania community policing iko vizuri mgeni huwez uka tupangia maisha yetu respect kwa kila mtu peace🙂
Kabila gani hilo mkuu?
 
Hahahahaaa duuhh expressway inapita msituni, aisee kweli Africa ni noma
Hahaha. Waligongwa na Wachina vibaya sana hawa Waganda. Wakiona ya Kenya ikielea kwenye city bila ya kupita juu ya misitu watalia na kusaga meno na kuwaambia Wachina wawarudishie pesa yao.
 
Kama pale tazara flyover na viaduct ya sgr pembeni,ukikaa kwa juu yaani seoul hii hapa ila ukiangalia kwa chini hivi kuanzia kwenye geti la bakhresa ni vibanda vya mbao tu yaani lazima unyong'onyee tu hata kama ulitaka kupiga photo kali
Hahaha. Umeniwacha hoi. City za Afrika zipo hivyo hata Nairobi kuna maeneo kama hayo.
 
Back
Top Bottom