Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are talking of the built-up area (metro) and you are talking of boundaries. Are you mad? So should we say Naivasha, with an area of 1, 685.4sq. km is bigger than Dar with an area of 1,590 sq. km?
They keep mentioning Dar's size and they forget that more than a half of that area is not built up. Ni ushagoo Kabisa and we've already seen that in the Image they shared here yesterday. Nilicheka sana when one of them confirmed that that place is just 35 kms from the cbd 😂
 
Hahahaha ila wakenya ni vichaa, ulitaka uone slums everywhere kama Nairobi nini?
Bongolala, kubali kwamba ukubwa wa Dar ni jina tu. Most of it is not built up like Nairobi is. Look at Athi River below which is 29 kms from the CBD then linganisha na ile kijiji yenu ambayo iko 35kms from Dar cbd.
greenpark-768x384.jpg
a-600x375.jpg
1-40940d84-large.jpg
 
Kibamba kuna nyumba nyingi sana sasa sijui kelele mnazopiga zimetoka wap
Nyumba gani hizo sisizoonekana kwa macho? Huenda kuna nyumba mbili au tatu kwenye hiyo picha but thay doesn't change the fact that it has a village feeling
 
Nilisema mm huyu ni Mkunya poa ila ana Upuuzi flani hv, eti anajifanya hajui kwnn Tz ni the most urbanized country in East and central Africa
Can you give us evidence that Tanzania is the most urbanized country in East Africa. Ama porojo za sisiemu ndio umeleta hapa?
 
Kw dar sinza ni mtaa wa kishua
Yani huaga nacheka sana nikiona mtu dar anajisifia yeye anaishi sinza na kuvimba kitaani
Sinza kuna ushua gani. .?Sinza sifa kuu wanaishi wajanja wa mjini na kuna pub nyingi na maduka mengi ya nguo ,saloon aina zote sinza wanaishi watu wa kipato cha kati tu matajiri haswaa wachache uzuri wa sinza mitaa yake imepangika yani kunaeleweka
 
Can you give us evidence that Tanzania is the most urbanized country in East Africa. Ama porojo za sisiemu ndio umeleta hapa?
kwani shida yako ni bundle huna au uvivu kitafuta

mnadanganywa na hizo nyumba mbili tatu hapo zilizopangwa mstari mnaona ndio mmemaliza!!!!

njoo tz uone kazi ya vijiji vya ujamaa ilileta matunda gani,ndio maana inakuwa rahisi hata kutandaza umeme maana watu wako pamoja sehemu nyingi.
 
Back
Top Bottom