ati that dilapilated Mombasa airport is one of the largest in the region? Kilimanjaro n Zanzibar airports beat Mombasa airport hands down as far as PAX numbers r concerned! That port in Mombasa can be compansated with number of gold mines, fish processing factories n gold refineries in MwanzaNdio nashindwa Geza Ulole na wenzake wanapata wapi ujasiri wa kucompare Mwanza na Mombasa.
1. Mombasa has one of the biggest airports in East Africa in terms of passenger numbers
2. Mombasa has the biggest port in East Africa and top 5 biggest port in Africa
3. Mombasa has both metre-gauge and standard gauge railway.
e.t.c
Ukionyesha nakulipaHii barabara imeshamong'onyoka hata mwaka haujapita! Nikuonyeshe ilivyo sasa?
ikiwa 10-20km kutoka cbd tu imewashinda kujenga mnataka kulinganisha km za ujenzi wa nairobi kwa dar seripusly....Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong



Nilisema mm huyu ni Mkunya poa ila ana Upuuzi flani hv, eti anajifanya hajui kwnn Tz ni the most urbanized country in East and central AfricaDar ni kubwa kieneo hatukatai ila most of it ni jina tu, hakuna kinachoendelea. Most of that 1500 square kilometers haijajengeka and that photo posted here yesterday is a clear proof. Ni kijijini kabisa




Wapo watakaosema ni renderkomora096 Tony254 View attachment 1679537haya maeneo ya hiyo barabara mnayobishania it's near by this biggest n modern hospital in EA (mloganzira hospital) na ikiizingatia hiyo pic vizuri utaona hapo kuna overpass ambayo itachukua watu kuwapeleka kwenye hii hospital .hapo panaitwa kibamba overpass,ngoja nikutaftie animation vids uone patafananaje pakikamilika




Dar imeshaiacha Nairobi kwa mbali sn mkuu.Lakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
Shida yake anataka kuiondoa ile mentality iliyojengeka kwamba Nairobi sehemu kubwa ni pori so anataka na Dar nayo ionekane hivyosasa unataka kuconpare dar na nairobi kwenye kujengeka...?
wacha ukichaa.......
sehemu ambazo hazijajengeka zipo na haziishi leo wala kesho.....we ulitaka jiji lote liwe na nyumba ...hiyo protocal umewah kuiona wapi![]()







Wacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa! Tena superior infrstructure na hata SGR inajengwa tena ya umeme!





The first, the second, and even the third are in Tz km unabisha twende kaziMombasa airport is the third largest in EAC.



Inaendelea kujengwa hiyo inatakiwa ifike mpk Morogoro, na nadhani itakuwa the longest in the region.Hii KImara Kibaha road yenu ndio kama Thika road yetu kwa upana lakini tatizo ni kwamba Kimara Kibaha road ni 19 km ilhali Thika road ni 40 km. Kwa hivyo bado tumewapiga.
Haha unamaanisha kile kijisehemu kilibomok na sasa hivi kmetengenezwa😁ama unamaanisha barabara yote imebomoka🤣🤣🤣🤣Hii barabara imeshamong'onyoka hata mwaka haujapita! Nikuonyeshe ilivyo sasa?
Mu7 anaapishwa lini?maana magu anaelekea kagera isije ikawa atavuka border to ugandaBreaking news:
Uganda elections: Museveni declared winner with 58.4pc votes
SATURDAY JANUARY 16 2021
![]()
Incumbent Yoweri Museveni wins Uganda's presidential election. PHOTO | AFP
![]()
By JULIUS BARIGABA
More by this Author
The Ugandan electoral commission has declared incumbent President Yoweri Museveni winner of the January 14 election with 58.64 per cent of the votes cast.
His closest rival Robert Kyagulanyi, popularly known as Bobi Wine, came second with 34.83 per cent of the votes.
Vote counting ended Saturday, with results from the Electoral Commission (EC) confirming the victory by Mr Museveni, 76, who is now set to begin his sixth term in office.
Just over 10 million people cast their votes out of the 18.1 million registered voters.
Justice Byabakama said Mr Museveni, who ran on a National Resistance Movement (NRM) ticket won with 5,851,037 votes while Mr Kyagulanyi had 3,475,298 votes.
Bobi Wine had as early as Friday dismissed the election results as the Electoral Commission announced provisional numbers. He claimed there were malpractices during voting and assured his supporters of victory.
![]()
Uganda elections: Museveni declared winner with 58pc votes
His closest rival Bobi Wine came second with 34.83 per cent of the votes.www.theeastafrican.co.ke
MY TAKE
Now lets get back to work Mr Museveni, EACOP is waiting to kickstart!