Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong
Hahahaha ila wakenya ni vichaa, ulitaka uone slums everywhere kama Nairobi nini?
 
Hili jengo hata bure huniweki humu ndani!
2669093_2298746_Mombasa122.jpg
Umewaza kama mimi. Hawa jamaa sijui kama wanawashauri kwenye majengo
 
Huwezi kuta vijiji in kenyan cities
Especially our capital
So, eneo likiwa wazi ni kijiji? hili eneo 110m both sides kutoka katikati ya barabara lote ni la halmashauri + hapo mwanzo wa picha nyuma ni mto na wale machinga mbele ni wa muda wakisubiri halmashauri itenge eneo la biashara baada ya barabara kukamilika.
Pia 50m kutoka barabarani zinajengwa barabara tena
 
Acha kufananisha mwanza na takataka, Mombasa haina airport wala bullet trains, haina cruise ships, haina suburbs, Mombasa ni utopolo kiongozi
Ficha upumbavu wako. Eti Mombasa haina airport? Unaishi dunia gani wewe?
 
Tanzania bado hata hatujatumia 10% ya madini yetu lakini tupo levels,

Hii multi billion projects Magufuli anaenda kumwaga wino karagwe ni drop off the ocean, potentials zetu bado ni way virgin yaani tunazifungua mdogo mdogo tu
 
Back
Top Bottom