Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀 hili jinga la chaka lipi jamani, nairobi ina 696 square km halafu anataka kutudanganya 40km from nairobi cbd.
Au unamaanisha cbd iko pembezoni mwa nairobi
Maana yake kuna possibilities za kuwa na straight stretch ya at least 80km kutoka Nairobi inapoanzia mpaka inapoishia, wakenya akili zao zipo chini ya makwapa
 
Julius Nyerere airport ndio airport pekee TZ iliyoshinda Moi airport kwa passengers numbers. Sasa ukitaka kulilia chooni basi nimekupatia fursa.
🤣🤣🤣🤣🤣
JNIA
ZIA
KIA

nimekuweke data za zanzibar naona hukurudi tena kupangua 🤣🤣🤣 sasa nakupeleka KIA je uko tayar
 
🤣🤣🤣🤣🤣
JNIA
ZIA
KIA

nimekuweke data za zanzibar naona hukurudi tena kupangua 🤣🤣🤣 sasa nakupeleka KIA je uko tayar
Data gani na sijaiona. Nipe number ya comment niende kuisoma
 
KDF in Somalia
EqfSDmxXAAAjYtk.jpg
ErTVL85XcAM30eE.jpg
 
Hii ni almost 3x + Tz ni most urbanized + Dar real estate valued more than nairobi, sijui wanapata wapi nguvu ya kuargue
Kwani unamuona huyo kilaza anaakili alikuwepo hapa 2019 akawashawishi wenzie wasusie huu uzi lakini nashangaa kumuona leo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom