Sinza dar es salaam ngoja waendelee kutafuta slum 🤣🤣🤣👇👇👇 na hapo ni 11km from CBD
Kw dar sinza ni mtaa wa kishuaHalafu tunaisahaugi sana sinza, nimependezwa na hizo parking zake nlikua najiuliza itakuaje


Aliekuambia hivyo kakudanganya, sinza ni kwa wajanja. so utakuta tabaka nyingi tuKw dar sinza ni mtaa wa kishua
Yani huaga nacheka sana nikiona mtu dar anajisifia yeye anaishi sinza na kuvimba kitaani
Halafu sinza inakufaa sana wewe, demu wa kijanja ukutane na masela wakijanja wakugonge mpaka usahau kurudi mombasaKw dar sinza ni mtaa wa kishua
Yani huaga nacheka sana nikiona mtu dar anajisifia yeye anaishi sinza na kuvimba kitaani
Majengo dizain ile huwa yanadondoka sn, jengo linaonekana dhaifu kabisaHyo ni appartment ya watu na levels zao
Bei huwezani



Shule kali kuliko vyuo vyote Kenya, yn haya ni matusi makubwa sn tunafanya ukanda huuYuko wapi aliekua anashindanisha public school za tanzania na kenya
View attachment 1679784View attachment 1679785View attachment 1679786View attachment 1679787View attachment 1679788View attachment 1679789






. Heb mtuonyeshe jengo refu na la kipekee hapa mombasani Kama hili
We know are well planned Uswazi's🤣🤣🤣Yani ni shida 🙄Miji Mingi home ziko well organized mfano bunda /jombe, geita au sengerema ni miji midogo lakini well planned,high level security,good transportation etc
Sinza dar es salaam ngoja waendelee kutafuta slum 🤣🤣🤣👇👇👇 na hapo ni 11km from CBD
Ukipata slum nitag ili niamini mzungu hana akili zaidi yako ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uswazi Kama kawaida🤣🤣🤣
wakitokea wazee wa yeboyebo apo izo mbio zake sipati picha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia Tanzania inavoinvest alafu ulete hapa Kenya kama mnafanya...Moi airport ni top 4 East Africa in terms of number of passengers going through it per year. Mwanza airport haipo hata top 5 hapa East Africa in terms of Pax.
Huoni ni wasteSGR ya Kenya inategemea Nairobi kushinda Uganda. 70% ya mizigo ya SGR ya Kenya inaishia Nairobi na mengine ndio yatakwenda Uganda na maeneo mengine ya Kenya.
Wakenya walipaswa waandamane serikali yao iangalie maeneo mengine ya NchiDodoma inajengwa usiku na mchana another big hospital