ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ww unawazimu mzee nakwambia tena unawazimu mkubwa sana 🤣🤣🤣Zanzibar airport haiwezi kukimbizana na Moi airport Mombasa kwenye passenger numbers.
Ww unawazimu mzee nakwambia tena unawazimu mkubwa sana 🤣🤣🤣Zanzibar airport haiwezi kukimbizana na Moi airport Mombasa kwenye passenger numbers.
Tubet pesa ngapi?Ww unawazimu mzee nakwambia tena unawazimu mkubwa sana 🤣🤣🤣
Na hio terminal 2 achilia mbali terminal 3 iliofunguliwa juziZanzibar airport haiwezi kukimbizana na Moi airport Mombasa kwenye passenger numbers.
Nyie Wakenya mnashida sana!35km kutoka cbd yani unakutana na kijiji
Hta mombasa haiko hvo aisee
Haya tafuta data ya kupika ulete hapa 🤣🤣Tubet pesa ngapi?
Kibamba kuna nyumba nyingi sana sasa sijui kelele mnazopiga zimetoka wapPorojo gani? Si ni wewe mwenyewe ndio umethibitisha kwamba Kutoka Dar cbd hadi kwenye hiyo kichaka ni 35kms?
5km from CBd unakutana na biggest slum in the world inaitwa kibera🤣🤣🤣🤣Nyie Wakenya mnashida sana!
Hivi Kibera and other shanty towns in Nairobi ziko KM ngapi toka CBD?
One video for u today🤣🤣👇👇👇
Watu wamepata mama ngina juzi wakat mwanza zipo zaidi ya 20 miaka zaidi ya 10
🤣🤣🤣🤣🤣 kamasi zinakutoka amani mumekosa utabakia kutuonesha picha ya gorofa mbili tatu then kwisha 😄😄 ukija pale sehemu CBD ya mombasa ilipo imezungukwa na ushuzi kwanzia mwembe tayari mpaka mwembe bado 😅😅😅😅Hahaha just nothing to show,mwanza bado Sana naipa Eldoret
Hii discussion ya leo naona inawauma sana. Aki poleni.5km from CBd unakutana na biggest slum in the world inaitwa kibera🤣🤣🤣🤣
100 m usawazi tupu🤣🤣5km from CBd unakutana na biggest slum in the world inaitwa kibera🤣🤣🤣🤣
Uliza kama hujui hio ni eneo limeshikana na public park yote ipo capripoint and its free hio hotel imejengwa na mwekezaji na pia ipo ndani ya public park 😃😃😃 ulikua hujui auMama ngina Ni public park,wacha kutuletea nje za hoteli ufananianishe na mama ngina
Inamuuma nani washamba kweli nyinyi hamujui hata kutafautisha city areas😆😆Hii discussion ya leo naona inawauma sana. Aki poleni.
Cc Uhuru n Umoja Umoja
According to mama ngina 😄😄😄100 m usawazi tupu🤣🤣
Hahaha mwanza kweli utaweza Mombasa na huo uswazi wake😹🤣🤣🤣🤣🤣 kamasi zinakutoka amani mumekosa utabakia kutuonesha picha ya gorofa mbili tatu then kwisha 😄😄 ukija pale sehemu CBD ya mombasa ilipo imezungukwa na ushuzi kwanzia mwembe tayari mpaka mwembe bado 😅😅😅😅
Nani alikwambia juja iko nairobi county👇👇🤣🤣🤣🤣 Tony254Compare with juja - 33km from Nairobi CBD
View attachment 1679471
Hahaha mwanza kweli utaweza Mombasa na huo uswazi wake😹View attachment 1679662
Imekunyima usingizi leo 🤣🤣🤣👇👇Hahaha mwanza kweli utaweza Mombasa na huo uswazi wake😹View attachment 1679662
Ati 30 km from the ocean majumba yameisha tunaanza kuona misitu. Mumefinyana nyote karibu na ocean.Inamuuma nani washamba kweli nyinyi hamujui hata kutafautisha city areas😆😆
Umeshangaa etiii 🤣🤣🤣🤣🤣Hii imenishangaza sana. Yaani 35 km from Dar hakuna majumba yet Kenya 35 km from Nairobi kuna majumba na apartments za watu kuishi? Naongea kuhusu maeneo ya Juja na Thika. This is suprising. To make matters worse, ikumbukwe kwamba Dar can only expand in one direction in the inland direction. Dar haiwezi kuexpand towards the ocean so I expected Dar iwe ime-expand more than 60 kilometres inland. Nairobi inaweza kuexpand in all directions and ukienda 40 kilometres in all directions bado utapata majumba huko.
Cc kikihboy Geza Ulole The best 007 Venus Star