Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hiyo southern bypass haifanani na ile kijinji yenu. The whole stretch is built up as you can see below View attachment 1679929View attachment 1679930View attachment 1679929View attachment 1679930
Hizi sio nyumba?
Unataka slums kama Kunyaland?

Polish_20210117_092941615.png
 
Sinza kuna ushua gani. .?Sinza sifa kuu wanaishi wajanja wa mjini na kuna pub nyingi na maduka mengi ya nguo ,saloon aina zote sinza wanaishi watu wa kipato cha kati tu matajiri haswaa wachache uzuri wa sinza mitaa yake imepangika yani kunaeleweka
Ndo maana nikamuuliza sinza Ipi anayo ijua yeye maana kule wajanja wanakaa watu wakaida Sana🙂
 
Village ipi? You mean Kibera? It is a slum, it's not a village na hiyo ardhi yote ni mali ya serikali
Nairobi nzima ni slums n thus y it is one of the most dirtiest cities in Africa

 
Back
Top Bottom