The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,867
- 82,502
Slums everywhere, FYI Kunyaland holds one of the biggest slums in the world, that one alone makes me to feel lucky being born in Tz
Umeskia matusi ya Sonko kwa Uhuru?Yani mm nashangaa nchi gani siasa zinaanza miaka miwili kabla ya uchaguzi 🤣🤣🤣🤣
Huwa husahau Northern Kenya kama ni part of Kenya!Nilijua tu kaingia cha kike
Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kukuUmeskia matusi ya Sonko kwa Uhuru?
Daaah itakua shida Sana 🙄🙄🙄Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Imagine wanaingia Uchaguzi wakiwa broke halafu wapigane!Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Hiyo Pai kaka (π) a.k.a 22/7Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Uyo mkandarasi iyo barabara anataka kuijenga kwa miaka mingap hv. .....Kipande kifupi tu cha 4km lakini hakiishi
Kupiga mabanda yako 7 Tena yale mazito sio mchezo kakaTanzania One (females)
Hawa jamaa hawana akili, Matutusa tupu, huwa hata hayajui yanataka nini,Naskia walikuwa wana-support Bob Wine katika attempt ya kujaribu ku-derail EACOP!
Tony254 mna upuuzi mwingi sana!
Niliwaambia hapa nchi imemfia kenyatta kwenye mikono yake wakaanza kulalamika 🤣🤣🤣Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa – Taifa Leo zamani ila najua mpaka leo hawajalipa, alafu wanalalama gdp kubwa.
Niliwaambia hapa nchi imemfia kenyatta kwenye mikono yake wakaanza kulalamika 🤣🤣🤣Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa – Taifa Leo zamani ila najua mpaka leo hawajalipa, alafu wanalalama gdp kubwa.