Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,788
Aliekudanganya nani ???Ati 30 km from the ocean majumba yameisha tunaanza kuona misitu. Mumefinyana nyote karibu na ocean.
Ikiwa nyinyi 30km mushaingia county nyingine munashindana na dar kweli??🤣🤣Ati 30 km from the ocean majumba yameisha tunaanza kuona misitu. Mumefinyana nyote karibu na ocean.
According to who kenyatta ???zanzibar na kilimanjaro unaziweka wapi chini ya vuzi au





Ndio kitu hua munadanganyana hapa🤣👇Ati 30 km from the ocean majumba yameisha tunaanza kuona misitu. Mumefinyana nyote karibu na ocean.
Nairobi 5 kms from the cbd unakutana na village,nairobi bado ni ndogo sana kwa dar...msijipe moyoThat doesn't charge the fact that hiyo eneo ni kijijini. Alafu cha kushangaza ni kwamba it's only 35 kms from the CBD!! 35 kms from Nairobi cbd huweziona sehemu imejiachilia hivyo utadhani uko kijijini Kabisa tena ndani
Jangwa hahaha ila we kichaa kweli, unajua maana ya Jangwa?Hapo naona nyumba tatu tu halafu the rest ni jangwa.
limebonyea katikati!Ata huwezi wekwa ndani kwasababu hankuna vitu za bure🤣😹
Soma hiyo route nyingine ni 32kmBoss, ni 40.7 km sio 32 km. soma hio map uliyopost tena
Sasa me nimechagua ya 32km sitafika? 😅😅😅Hiyo ni ukitumia southern bypass bongolala. Comment yangu nimesema A1 which is Waiyaki Way and it is 52kms. Those are two different routes. Hata hiyo southern bypass unayotaja hapa imejengeka mwanzo mwisho and it's 42 kms as you've shown above. Nikisema Dar is a glorified fishing village si sasa mnaona!?
Yeah, naona hata hapo mwanzo wa picha kuna jambo lipo hapoWe unajua hapo ni wapinimecheka sana wallahi, hiyo ndiyo homa ya jiji kimara-kibaha highway, ni moto hyo road, nasema hivi hakuna road inafanyiwa decorations km hiyo kwa hapa EA hakiya ya nani nakwambia, hiyo barabara inatengenezwa jamani.
Juzi nilipita hapo narudia tena wakuu naomba muisave hii comment HAKUNA ROAD INALEMBWA KAMA HIYO HAPA EA, km ipo basi sijawahi kuiona. Perhaps ile ya Uganda but nayo haiingii hiyo ya kimara-kibaha highway, muda utaongea.
Kibera sio kijiji wala hakuna mtu anayemilikiNyie Wakenya mnashida sana!
Hivi Kibera and other shanty towns in Nairobi ziko KM ngapi toka CBD?
hiyo siyo village ni pig farmNairobi 5 kms from the cbd unakutana na village,nairobi bado ni ndogo sana kwa dar...msijipe moyo


.asante kwa kuiweka sawa,vijiji havikai namna ileKibera sio kijiji wala hakuna mtu anayemiliki

.Hujui lolote kumvava, unajua hapo ni wapiKumbe Dar ni kubwa kieneo tu 😂 Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
Acha kufananisha mwanza na takataka, Mombasa haina airport wala bullet trains, haina cruise ships, haina suburbs, Mombasa ni utopolo kiongoziLakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
Government reserve landasante kwa kuiweka sawa,vijiji havikai namna ile.



Wamezoea slums kenya sehemu kama hiziApo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Huwezi kuta vijiji in kenyan citiesWamezoea slums kenya sehemu kama hizi

