Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Naona hata Mchuchuma Liganga iron ore yaja ikiwemo SGR Mtwara - Mbamba Bay!
Mombasa ilishapigwa mambo na Zanzibar kitamboLakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
Top 4 haimaanishi kwamba Moi sio ya tatu.Imekua ya nne sio ya tatu tena kama alivosema huyu kilaza 🤣🤣🤣🤣 Na kama imekua ya nne je kilimanjaro unamuachia nani???😃😃😃NairobiWalker
Alaf hawa hawa utawaskia uganda ni rafiki zetu🤣🤣👇👇
Leta data mzee. Hapa sio vijiweni.Mombasa ilishapigwa mambo na Zanzibar kitambo
Yani ni shida 🙄Miji Mingi home ziko well organized mfano bunda /jombe, geita au sengerema ni miji midogo lakini well planned,high level security,good transportation etcNa haina hata bus stage moja ya kusingiziwa 🤣🤣🤣🤣 kule kila mtu sheria anayo mkononi
Atume mara ngapi sasa🤣🤣👇👇Tunangoja Magufuli atume hongera zake kwanza kisha sisi tufuate.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda useme top 6 ndio utaeleweka vzr manake kuna entebe international airport usisahauTop 4 haimaanishi kwamba Moi sio ya tatu.
😀 Data zipo humuhumu, aidha una kichwa cha panzi au unataka kupoteza mudaLeta data mzee. Hapa sio vijiweni.
😀 hili jinga la chaka lipi jamani, nairobi ina 696 square km halafu anataka kutudanganya 40km from nairobi cbd.Tuonyeshe sehemu zilizo 25-40km from the CBD in Dar zinakaa aje nasi tukuonyeshe za Nairobi.
Atume mara ngapi sasa🤣🤣👇👇
Tony hiyo ni phase 1, phase II inaenda hadi chalinze more than 100km na nina uhakika tulipoweka plan humu na wewe ulikwepo, sasa hapa naamini wewe ni kichwa cha panzi maana haijapita hata miezi 3Hii KImara Kibaha road yenu ndio kama Thika road yetu kwa upana lakini tatizo ni kwamba Kimara Kibaha road ni 19 km ilhali Thika road ni 40 km. Kwa hivyo bado tumewapiga.
Julius Nyerere airport ndio airport pekee TZ iliyoshinda Moi airport kwa passengers numbers. Sasa ukitaka kulilia chooni basi nimekupatia fursa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda useme top 6 ndio utaeleweka vzr manake kuna entebe international airport usisahau