Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_4845.jpg

IMG_4846.jpg
 
So hiyo video iko na nini? I thought you were going to mention concrete things ambazo Mwanza inashindia Mombasa. Kumbe Ni kelele tu?
Huyo achana naye mkuu, atakupotezea mda tu wala hana lolote..
 
Hapo umekasirisha mtu aisee, yani kaja kivingine baada ya kumpiga ukwel
Anadhani forums like this one mtu hapaswi kuwa mentioned or quoted. Ni mara ngapi mimi ama hata wewe umekuwa quoted by just posting hata kama you've not directed your comment to the person quoting you?
 
You put your fingers where they don’t belong! Fata mambo yanayokuhusu...sipendi watu wenye kiherehere!
It is simple and I repeat. if you don't want to be quoted, then simply don't post/comment
 
Huyo achana naye mkuu, atakupotezea mda tu wala hana lolote..
Kawaida yake huyu bongolala. Anasema eti Mwanza inashinda Mombasa nikimuuliza kwa lipi ananiambia niangalie video. Huyu anapendanga sana ubishi za kijinga
 
😂 😂 😂. Yani nimeshangaa sana eti hapo bado ni Dar. The same Dar tunayosifiwa hapa usiku na mchana! Siongei kiushabiki but Nairobi huwezi pata sehemu panafanana hivyo. Even the metropolitan areas of Nairobi like Kiserian, Ngong, Kiambu, Athi River et al don't look that way. Nairobi is built up all over you can't find places with such countryside feel

So hiyo video iko na nini? I thought you were going to mention concrete things ambazo Mwanza inashindia Mombasa. Kumbe Ni kelele tu?
komora096 Tony254
Screenshot_20210111-052704~2.png
haya maeneo ya hiyo barabara mnayobishania it's near by this biggest n modern hospital in EA (mloganzira hospital) na ikiizingatia hiyo pic vizuri utaona hapo kuna overpass ambayo itachukua watu kuwapeleka kwenye hii hospital .hapo panaitwa kibamba overpass,ngoja nikutaftie animation vids uone patafananaje pakikamilika
 
komora096 Tony254 View attachment 1679537haya maeneo ya hiyo barabara mnayobishania it's near by this biggest n modern hospital in EA (mloganzira hospital) na ikiizingatia hiyo pic vizuri utaona hapo kuna overpass ambayo itachukua watu kuwapeleka kwenye hii hospital .hapo panaitwa kibamba overpass,ngoja nikutaftie animation vids uone patafananaje pakikamilika
That doesn't charge the fact that hiyo eneo ni kijijini. Alafu cha kushangaza ni kwamba it's only 35 kms from the CBD!! 35 kms from Nairobi cbd huweziona sehemu imejiachilia hivyo utadhani uko kijijini Kabisa tena ndani
 
komora096 Tony254 View attachment 1679537haya maeneo ya hiyo barabara mnayobishania it's near by this biggest n modern hospital in EA (mloganzira hospital) na ikiizingatia hiyo pic vizuri utaona hapo kuna overpass ambayo itachukua watu kuwapeleka kwenye hii hospital .hapo panaitwa kibamba overpass,ngoja nikutaftie animation vids uone patafananaje pakikamilika
Lakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
 
Dar ni kubwa kieneo hatukatai ila most of it ni jina tu, hakuna kinachoendelea. Most of that 1500 square kilometers haijajengeka and that photo posted here yesterday is a clear proof. Ni kijijini kabisa
sasa unataka kuconpare dar na nairobi kwenye kujengeka...?


wacha ukichaa.......

sehemu ambazo hazijajengeka zipo na haziishi leo wala kesho.....we ulitaka jiji lote liwe na nyumba ...hiyo protocal umewah kuiona wapi
 
Imagine Nairobi is 696 sq km and out of that 117 sq km is Nairobi National Park! and yet u r daring to compare Nairobi to Dar!
We are talking of the built-up area (metro) and you are talking of boundaries. Are you mad? So should we say Naivasha, with an area of 1, 685.4sq. km is bigger than Dar with an area of 1,590 sq. km?
 
Back
Top Bottom