Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

New modern market chalinze
D43815A6-700D-4A33-A16E-B7421C4C4155.jpeg

 
Pitia hii thread ukitaka battle ya barabara



Tanzanians, show us your roads
Tumalizane hapa hapa, mm ni mvivu siwezi kufungua hiyo thread mana itanipotezea muda ilihali ukweli unajulikana.
 
Tony umefanya vizuri kuweka certificates zako za Account. But sorry Account and Economics ni vitu viwili tofauti.

Accountant is just an Advanced CASHIER.
Also hizo certificates mbona kama masomo ya online!? Vilevile CPA any person can do that nothing special bro hapo.
jamaa kapanic vibaya sana.....

mpeni dawa ya kutuliza maumivu
 
Nikizurura mitaa ya mwanza, First time nimekuja Kanda ya Ziwa. In General , Chato bado padogo lakini Pako vizuri na panaenda kuwa Pazuri sana.

Nimekaa muda mwingi Barabara ya Geita , Ambayo pia inaenda Bukoba. Pembeni mwa Barabara hii kutoka kwa Mheshimiwa (Js Hotel) Mpaka Js Safari Ambapo kati kati kuna Museven School (Mpya) na VETA iliyofunguliwa juzi pana Potential na payakua pazuri soon.

Hotels na Vilodge vyote vilikua fully booked, watu wengi hadi waheshimiwa wamelala nje ya Chato.

View attachment 1673137
View attachment 1673138
View attachment 1673139
View attachment 1673140

Chato Kuna Js Hotel na Js Safari, Wanasema zote za Mheshimiwa. Ila kajitahidi sana. Na ana Mbiga yake ina wanyama pori na Farasi. Pia kuna Chato Beach resort etc

In fact Chato Nimepakubali sana .
Ka hali cha hewa safi sana nikiwaza narudi Dar kuvuja Jasho

Infact kuna mambo mengi mazuri ila sijapiga picha nisije weka mambo mengine Confidential Humu.

Js Hotel.

View attachment 1673147

Hii kitu X7 40i Xdrive ya 2020 , taa moja ya Mbele ni sawa na Bei ya Land-cruiser ya Ichohoy J/K

View attachment 1673158


View attachment 1673150


Huku ni Js Safari, kuna mbuga ya wanyama.View attachment 1673155


View attachment 1673156
View attachment 1673157
kupo poa sana
 
Kuna lugha mtu wa profession flani akizitaja unajua ni kweli jamaa aliangalia screenshot akajua what I do! Si rahisi mtu mwingine kujua na ali-post App yake anayo-develop! Kuwa na heshima kidogo bwn Tony254! Unajua the kind of coding that goes to develop an App?

BTW hivyo vyeti vina namba na kama board of Accountants Kenya wana results database online we can get every of ur details by simple queries!
Tulipue bom
 
ujue nimekaa nimefikiria imenibidi nicheke sana

wakenya bado ni washamba sana,mtu na bichwa lake anaamka asubuhi anafanya shughuli zake anakuja JF anatupia certificate.. watu tushamzoom kitambo hadi anapoishi na robo ya mzunguko wa family yake tushaijua...

ila siyo jamboo tunapotezea
 
Back
Top Bottom